TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Pay back time, AKA alikua ni main suspect kuhusu kufa kwa ex girlfriend wake kwa 'kujirusha'gorofani pale mother city, ni revenge ambayo binafsi its ok,hii ni push back kutoka kwenye familia ya ex wake, Nami ningefanya hivi hivi, huwezi akanipotezea mtoto wangu then kwako life akawa normal, it's a NO
Mtoto mwenyewe wakishua na anatokea Durban ..Kiufupi AKA kaingiq kweny 18 za Wana .

Halafu kesi ilizimwa kirahisi sana
 
Kuna watu walikuwa wanafurahia mateso aliyokuwa Jiwe anawapa wapinzani wake wa kisiasa. Huu ubaguzi upo kila sehemu. Inawezekana hata wewe huupendi kama inavyowezekana hata yeye AKA hakuupenda, ila ndio hivyo huwezi kujua.

Wewe mtu wa vyeti fake hacha kuambukiza chuki kwa wenzio....JPM alishakufa ni sawa na sherehe si mlifanya mkachinja na Cow kwa msahda wa mafisadi na walamba Asali wenzenu??....Hapa tunajadili ishu ya huyu jamaa ni kweli wamemuua ili kulipiza kisasi cha ex -wake au kuna waliomua huyu jamaa kwa bifu zao tu kwa kujificha kwenye kivuli cha kwamba hawatojulikana mana wataisiwa family ya Ex-wake?
 
Kwani alikua anadili na issue zetu zile kwenye black market?????Afu vipi kuhusu Ricky ricku ni kweli alijinyonga au walimuua???
Ricky ni stress naona za mapenzi alijiua na nalisikia kabla ya hapo alishatoa kama ujumbe Kuna ishu na mpenzi wako hazikuwa sawa.

Coverage ya assault ya AkA inasemekana jamaa ile ishu ya demu wake kujirusha kwamba Kuna kitu kilisababishwa..Sasa baadhi ya wahudumu wa ile hotel wanadai kabla ya tukio walikuwa wanasikia wakigombana chumbani then ndo demu akasemekan kajirusha .

Baada ya hapo coverage ya kesi imepotea bila kueleweka yaani kirahisi ,ukizingatia yule mtoto father wake ni don hapo hapo south na biashara chafu kibao anafanya yaani ni mafia na Tangu kifo ya yule demu waliingia kweny hali ya kutoelewana kati ya mkwe na AkA.
Watu wa south wanajua ilikuwa ni swala la mda na alikuwa watu wanamlia timing tu
 
Hii hapa ugomvu na yule manzi
 
Back
Top Bottom