TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Wasouth wana roho ngumu hivi analala kabisa usiku kwa amani au kuna vitu anatumia
Wazazi wanavyolia vile halaf baba ake Aka anaonekana mpole sana sana maskin anatabasam tu halaf anakaa kimyaa

Hii ni kwa sababu waliko toka, mateso ya makaburu, baada ya miaka 40 ya uhuru wao geration itakayo kuja wataanza kuwa na utu!
Lakini ukatili wao hawa wafikia waarabu, wahindi na wapakistani hapo acha tu!
 
Naifatilia sana hii murder case sijasikia mtu yoyote kukamatwa.Wale jamaa watakua ni professional hitman maana walivyotoweka pale inawezekana kabisa kuna gari ilikua inasubiri na haikuonekana kwa CCTV, ngoja MONSTER labda atakuja kueleza maana inaonekana anaijua sana South Africa na hayo maeneo. Haya mauaji yamenikumbusha yale mauaji ya aliekua Waziri Mkuu wa Japan, Enzo Abe, jamaa nae alimbutua risasi kwa karibu kabisa ile anataka kuchomoka tu walinzi weshamdaka na silaha yake.
Hii video iliyoletwa humu umechukuliwa kwa simu au naona vibaya
 
Naifatilia sana hii murder case sijasikia mtu yoyote kukamatwa.Wale jamaa watakua ni professional hitman maana walivyotoweka pale inawezekana kabisa kuna gari ilikua inasubiri na haikuonekana kwa CCTV, ngoja MONSTER labda atakuja kueleza maana inaonekana anaijua sana South Africa na hayo maeneo. Haya mauaji yamenikumbusha yale mauaji ya aliekua Waziri Mkuu wa Japan, Enzo Abe, jamaa nae alimbutua risasi kwa karibu kabisa ile anataka kuchomoka tu walinzi weshamdaka na silaha yake.
Yeah, hitman obviously alikuwa ni professional. Very likely itakuwa amekodiwa maana alihakikisha anambatua at a very close range ili ahakikishe mlengwa wake anakufa hapohapo, yaani kamdungua za kichwa.
 
Sasa hivi akiangalia yule mtoto anavyolia sijui anajisikiaje sijui kalipwa ngapi Yaan nataman kujua kamuua kwa sababu gani
Na yule mwingine mazish lini?
 
Professional assassins huwa majonzi ya wafiwa siyo shida zao, mpaka kupewa contract kama hiyo(kama ni kweli ndivyo ilivyokuwa) inamaana ameshaua sana na tena huwa anaua with efficiency.
 
Mbona hamuweki mazish yake jamani
.
Screenshot_20230218-183548.jpg
 
Daah noumer, ila kuua mtu na pistol kwa ukaribu vile lazima uwe umepiga msuba aka mjani aka ganja aka bangi..hamna mbongo mwenye roho ngumu kama wasouth angemfanyizia mwigulu - jamaa simpendi yule kwa madharau yake.
Mwigulu siku akihitiwa tutashangilia[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Professional assassins huwa majonzi ya wafiwa siyo shida zao, mpaka kupewa contract kama hiyo(kama ni kweli ndivyo ilivyokuwa) inamaana ameshaua sana na tena huwa anaua with efficiency.
Hiii Dunia hii..MUNGU atusaidie unaua mwanadamu mwenzio kama nyoka

Back
Top Bottom