TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

Hakika tumeondokewa na nguri wa muziki wetu wa kiafrika haswa
In God we Trust
 
Enz hizo maisha Raha tupu shida tupa kule,uwazi kodi,ada,boom mwisho wa mwezi sijui ccm, chadema.majukumu.
 
Huyu anatokea Congo Brazzavile,ingawa maisha yake mengi yalikua pale Kinshasa,Congo DR.
Aliwahi kuugua ugonjwa wa Kiharusi enzi fulani.
R.I.P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabele alikuwa Na pumzi mwanzo mwisho kama luck dube.Ngoma inachanganya toka mwanzo mwisho,tofauti na sebene yenyewe inachanganyia kati au mwisho
 
mbona simjui huyu,alikuwa maarufu kipindi gani??,cha nyerere au mkapa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa kama ingekuwa ile kazi ya unenguaji inasaidiaga huko akhera basi angeendelea kula raha. Lakini ni huruma ttuu maskin atachapika milele
 
Dah inauma Sana nadhani sisi mabaharia Sasa inabidi tuanze kuweka Mambo sawa safari inawiva,alianza Pepe kale roho iktuuma wewe akafata King Lester emeneya mzee wa kidekule Mara Tabu key mzee wa maze Mara Tena Papa wemba mara na Sasa Aurus mabele mzee wa evelina haki Sasa tumezeeka na tunaitaji kuwaachia husia watoto wetu na wadogo zetu wazee wa bongo fleva(ikiwa unazeeka ujijui kwa kweli Bali utakuwa unashangaa unapewa shikamoo na watu wengine unawaona Kama unalingana nao)ngoja Michele tu kimoyo moyo ""usinione nikicheka ukadhani Nina furaha kumbe Nina uzuni moyoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kumbe hata isingekuwa corona angefariki hivi karibuni
 
Afadhali umenisaidia kwa hilo maana kuna baadhi ya wana jf wabishi kama nini wanasistiza ni mzaliwa wa DR
Huyu anatokea Congo Brazzavile,ingawa maisha yake mengi yalikua pale Kinshasa,Congo DR.
Aliwahi kuugua ugonjwa wa Kiharusi enzi fulani.
R.I.P

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…