Sasa kama ingekuwa ile kazi ya unenguaji inasaidiaga huko akhera basi angeendelea kula raha. Lakini ni huruma ttuu maskin atachapika milele
R.I.P Mabele...jamaa alikuwa mgonjwa muda mrefu na alipigika sana na maisha hakuwekeza sasa kupooza kuchanganya na corona ndio umauti umemfika
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenu hakuna hata wahenga!?? Siku mojamoja wakushirikishe ya enzi zao...mbona simjui huyu,alikuwa maarufu kipindi gani??,cha nyerere au mkapa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni congo Brazzaville, na sio drc
Kwa mujib wa haya maelezo kifo chake kina ukakasi kidogo, hauwezi kukihusianisha moja kwa moja na Corona.
Bado ntaendelea kuwa wa mwisho kuamini Corona itaua mwafrika. Tuendelee kuchukua tahadhari na kuzingatia tahadhari zote. Huu ugonjwa una athari kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Ndio. Congo Brazza, wengine ni akina Jean Baron na Awilo Longomba.Ni Brazzaville [emoji1077] fuatilia utapata ukweli
In God we Trust
Mungu amuweke mahali pema peponiHivi ni kweli alipigika kiasi hicho? Maana wanasema aliuza kopi za muziki wake zaidi ya 10m
In God we Trust
Ndo huyo huyo mzee wa lubo luboHivi huyu ndio aleimba na ile "lubolubo"
Umemsahau King kester emeneya mzee wa kidekule na zinziHakika mkuu sisi wahenga tunasononeka sana
1:Madilu system
2:Luambo Makiadi
3😛epe Kalle
4:Tabu Ley
5:Aurlus Mabele
In God we Trust
Nazifahamu sana hizi ,enzi zetu hizo Christmas, zinapigwa kwenye redio cassette afu redio inawekwa kwenye mtungi mkubwaa kama sabufa vile, hatari sanaa[emoji3][emoji3]Kumbe nawewe unazijua jua mkuu
Rest in peace......tuliokulia kijijini na disco vumbi lilinoga sana
Ni Evelyne [emoji28]Avelina,Avelina ,Avelina.Uhai ni ka upepo Fulani tu.Pumzika vilivyo komredi
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka yote itabaki kuwa juuKibao lilikuwa na bado kipo murua sana
Duuh apumzike kwa amani[QUOTE="Jodoki Kalimilo, post: 28743196, member: 70860"
Embu tujikumbushe kidogo
Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe