Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

hapo tumsubiri dudu baya atamponda balaa
 
Huyo dogo anabidi kukua na kuachana na drama.
Mkuu TID ni dogo? Mtu mwenye umri wa miaka 45 ni dogo? Huyu ni Mzee sio dogo, huo ujinga anaofanya anarudia aliyoyafanya miaka 20 iliyopita. Nje ya mada kidogo,..wadau watanikumbusha, huyu miaka ya nyuma si ndo aliwahi kupuliza sumu club akapata kesi? Lakini pia aliwahi kufungwa kwa kesi nyingine ya kupigana club/bar? Juzikati alisema kahamia Dodoma. Anaitwa kwenye show ya miaka 30 ya bongo flava akatema shit. Matukio kila kukicha. Anyways, mambo yake tumwachie mwenyewe
 
Kuitwa Dogo inategemea na umri wako

Mfano kama Nina miaka 55 ninaweza kumuita Dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…