Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

Na haya ndiyo maisha halisi ya walamba midomo na wazee wa show off mara mimi hiki mara kile .

TID mbali na yote kinachomponza uwa ni ego sidhani kama hakukuwa na kitu cha kunyanganywa ili hela ipatikane yawezeakana alileta maneno ya shombo pia
Jamaa ana ujinga fulani siku moja Dodoma Rainbow alibeba Jargamaster yangu niliyokuwa nakunywa
 
Unazungukwa na machawa bar hawawezi hata kulipa bili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…