TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Na kifo cha faza nelly alichomwa visu kifuani. Tunapoteza watu wengi wazuri
 
Na kifo cha faza nelly alichomwa visu kifuani. Tunapoteza watu wengi wazuri
Natamani Steve 2k angekuwepo maana yeye ndio mchizi wangu kama pingu na denso majaribu ya leo sio majibu ya kesho alini introduce kwa Castro producer alifanya dotcom free Castro Ponera watu wake wa jela wanasema huyu mchizi ana flow
 
Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu ambae ndio aliemuitia mwizi😭😭😭
 
Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu ambae ndio aliemuitia mwizi😭😭😭
 
Kwani yule mwanafunzi wa chuo
Aliyeitiwa mwizi na dem wake alikuwa mwizi!
Hii dunia uwanja wa fujo mzee

Ova
Dah kitambo sana kuna mshikaji alikuwa na demuwanachuo pale mabibo hostel sasa akagombana nae siku ameenda hostel kumcheki demu akamuitia mwizi...mchizi alichapika kinoma mpk baadae watu kuja kujua jamaa alikuwa basha wa yule manzi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…