TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Dah what a tragic death, RIP mandojo
 
Miaka ya zamani ilikuwa ukiwa Mzee halafu hauna hela lazima utaitwa Mchawi.

Miaka hii Vijana kama hauna hela halafu haujiweki soap soap jiandae kuitwa Mwizi.

NB: Vijana iwapo mahusiano yenu yameisha, vyema kuachana kimya kimya badala ya kuitana mwizi ili mwenzio auwawe

Tangulia Mpambanaji, mbele yetu nyuma yako 😭😭😭
 
Huyo aliyepiga kelele za 'mwizi' kwa chuki ashughulikiwe kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…