900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Ni zero kabisa yuleHivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
Huna uelewa wowote kuhusu imani!Unafanya maovu makusudi ili ukatubu? Wacha kujijaza UJINGA hapa! Hata hivyo kutubu SI kusamehemwa mpaka muumba mwenyewe akusamehe.
Watu kama Hitler, Iddi Amin, Mobutu, Mussolini, Magufuli hata wakitubu, ni vigumu kusamehewa
Imeandikiwa usiueUnaenda kanisani ama msikitini?
Unajuaje kama hakutubu?
Imeandikwa Usihukumu.
Kaka jamaa naamini hajawahi kuwa mtu safi,mtu franga mbele, nakumbuka kama alikua na mke Askari pia.Alivyostuka kama gari ni ya Jimmy akawa mpole?
Jamaa yako hana mke Askari?!! Yanga ilipokua inacheza Moro ama Tanga alikua hasafiri mikoa hiyo kwenda kucheki game?!! Jamaa yako sio mrefu kimo kile?!! Jamaa yako haongei kwa jaziba na kama anafoka?!! Jamaa yako sio left handed?!! Jamaa yako sio maji ya kunde?!!Ndugu yangu sipingi usemacho, ila alie mtolea Nape silaha si Gilbert kulingana na picha na video. Kama unamfahamu kweli Gilbert. KIla binadamu anamadhaifu. Sidhani kama kuna mtu ambaye hajawai tenda baya. Kosa fulani aliwezi kuwa ndiyo hukumu ya kosa jingine au kuhalalisha kosa. Hapa issue je yule alomtolea Nape silaha kweli ni Gilbert? Wakati ule zilisambaa picha za mtu anaitwa Kisasandu.
Na Gilbert wakati wa hiyo Issue hakuwepo Dar, alikuwa huko Musoma, baadae alihamishiwa Mtwara miaka mingi tu!
Ni kweli ni mshabiki kindakindaki wa Yanga!
Siyo kung'atuka tu bali kufunguliwa mashitaka ajieleze vizuri mbele ya sheria na haki itendeke!
Siro ni nani katika nchi hii, mbona ananyamaziwa kiasi hichi???
Nape itabidi athibitishe kama ndiye kweli
Rais SSH alipopata muda aliongea mengi kinyume na mwenendo mzima wa jeshi la polisi wa miaka ya karibuni. Kama upo ubunifu miongoni mwa mabosi wao aliyoyasema SSH yanapaswa kuwa changamoto ya kuanzia mabadiliko ya kweli ya jeshi la polisi.Let’s hope so. Sirro ni indiketa tu ya uozo uliopo. Kumuondoa ni Rais kuonyesha utashi wa kisiasa kulisafisha jeshi la polisi.
Lakini, ninachokiona weledi wa majeshi yetu ya usalama umeshuka sana. Putting aside the debate on morals and ethics, askari siku hizi wanaji-expose ovyoovyo kama vibaka wa mitaani.
Wanasuka mission za kitoto, huoni brains za maana ndani yake. Na wengine sijui kwa ujinga wanajisikia ufahari kujulikana when they ought to be deep in the shadows.
No wonder inadaiwa siasa za CCM zimeteka majeshi na kurundika vijana wengi wahuni huko. They are bungling everything. Na kazi zao kuu ni kupambana na “maadui” wa kisiasa, kutisha wanyonge na kufanya ujambazi. Akitokea jahili wa kweli kweli kama Hamza wanapata tabu sana. Wanaokolewa na maveteran wachache (real professionals) waliopo.
True toka lini Henry Kisanduku akawa mrakibu wa policeKisanduku alikua ni miongoni mwa walinzi wa zero brain.
Alipelekwa Pemba baada ya matukio mfululizo ni mtu pia mwenye misifa sifa isiyokua na maana ile awamu ilijaa mazuzu nao hii nayo ni muendelezo.
Rais SSH alipopata muda aliongea mengi kinyume na mwenendo mzima wa jeshi la polisi wa miaka ya karibuni. Kama upo ubunifu miongoni mwa mabosi wao aliyoyasema SSH yanapaswa kuwa changamoto ya kuanzia mabadiliko ya kweli ya jeshi la polisi.
Elimu ni tatizo, polisi hawapo kisasa kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia ya kidunia. Bado jeshi limejaa uonevu wa kipuuzi, bado kuna maamuzi yasiyoendana na ukubwa wa tukio husika.
Polisi wetu wanapaswa kuwa ni wa kisayansi kuliko kuishia kukamata wahudhuriaji wa mikutano ya CHADEMA.
Kuondoka kwa yule mzee kumetufungua mambo mengi sana
Umechemsha, Gilbert si mweusi. Hajawahi, na hatumii mkono wa kushoto si left handed. Uliza wanao mfahamu, Kitenge hamjui! Huna hoja ndugu yangu unaongozwa na hisia. Huyo Gilbert miaka mingi amekuwa Musoma, na Mtwara, hata wakati Nape anaoneshewa bastora Gilbert Kalanje hakuwa Dar. Acha kulazimisha.Jamaa yako hana mke Askari?!! Yanga ilipokua inacheza Moro ama Tanga alikua hasafiri mikoa hiyo kwenda kucheki game?!! Jamaa yako sio mrefu kimo kile?!! Jamaa yako haongei kwa jaziba na kama anafoka?!! Jamaa yako sio left handed?!! Jamaa yako sio maji ya kunde?!!
Binafsi kuonekana mweupe kwenye picha hiyo ya gazeti nashangaa kidogo kwani Gilbert ni mweusi kama kwenye ile clip ya bastola,Ila siwezi kushangaa kuonekana mweupe kwa picha ya passport size/selfie maana yaweza kua studio imependezesha!! Ila Kuna vitu vingi ambavyo vinarandana na mtuhumiwa,zaidi ya 80%
NB-Kitenge alikua face to face na mtuhumiwa siku ile na ndie alimzuia,kasema Ni mwenyenywe!!!
IGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta.
“Mheshimiwa Nape amefungua kesi. Ujue picha kuonekana haina maana kwamba yule mtu ataonekana kirahisi lakini upelelezi unaendelea kumtafuta aliyefanya tukio hilo. Wananchi watusaidie, maana suala la kumpata mhalifu ni ushirikiano, sisi tunaenda kwa taarifa, bila taarifa ya uhakika hatuwezi kufanikiwa,” amesema.
Kumbe baada ya tukio wakampeleka Mtwara halafu akaenda kujiongelesha Mtwara.
Huyu anatumia majina mangapi? Wakati wa nape alitajwa ni heri kisanduku, huku kalanje, je ni huyo mtu mmoja?Yametimia, ukizoea kula nyama ya mtu, huwezi kuwacha, yule askari aliyemtolea waziri Nape Nnauye bastola ni miongoni mwa askari Polisi wa Mtwara wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini.
Ni wakati muafaka sasa kwa Nape Nnauye kutumia madaraka yake, ili kuifufua na kesi ya kutishiwa kuuawa na hii kima ili kukomesha tabia hizi.
View attachment 2098003