Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Hivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
Ni zero kabisa yule
 
Unafanya maovu makusudi ili ukatubu? Wacha kujijaza UJINGA hapa! Hata hivyo kutubu SI kusamehemwa mpaka muumba mwenyewe akusamehe.

Watu kama Hitler, Iddi Amin, Mobutu, Mussolini, Magufuli hata wakitubu, ni vigumu kusamehewa
Huna uelewa wowote kuhusu imani!

Ndio nyie kila siku mnazini ila kula kitimoto mnaona ndio dhambi
 
Kuna watu hata watubu vipi moto upo pale pale huwezi ukafanya dhambi za kujirudia rudia Ili uje utubu
 
Alivyostuka kama gari ni ya Jimmy akawa mpole?
Kaka jamaa naamini hajawahi kuwa mtu safi,mtu franga mbele, nakumbuka kama alikua na mke Askari pia.

Kwenye suala letu mtuhumiwa wetu alikuja kuachiwa na gari yake tuliyomkamata nayo na kuipeleka polisi pia akapewa,wakaanza nizungusha tu!!
 
Ndugu yangu sipingi usemacho, ila alie mtolea Nape silaha si Gilbert kulingana na picha na video. Kama unamfahamu kweli Gilbert. KIla binadamu anamadhaifu. Sidhani kama kuna mtu ambaye hajawai tenda baya. Kosa fulani aliwezi kuwa ndiyo hukumu ya kosa jingine au kuhalalisha kosa. Hapa issue je yule alomtolea Nape silaha kweli ni Gilbert? Wakati ule zilisambaa picha za mtu anaitwa Kisasandu.
Na Gilbert wakati wa hiyo Issue hakuwepo Dar, alikuwa huko Musoma, baadae alihamishiwa Mtwara miaka mingi tu!
Ni kweli ni mshabiki kindakindaki wa Yanga!
Jamaa yako hana mke Askari?!! Yanga ilipokua inacheza Moro ama Tanga alikua hasafiri mikoa hiyo kwenda kucheki game?!! Jamaa yako sio mrefu kimo kile?!! Jamaa yako haongei kwa jaziba na kama anafoka?!! Jamaa yako sio left handed?!! Jamaa yako sio maji ya kunde?!!

Binafsi kuonekana mweupe kwenye picha hiyo ya gazeti nashangaa kidogo kwani Gilbert ni mweusi kama kwenye ile clip ya bastola,Ila siwezi kushangaa kuonekana mweupe kwa picha ya passport size/selfie maana yaweza kua studio imependezesha!! Ila Kuna vitu vingi ambavyo vinarandana na mtuhumiwa,zaidi ya 80%

NB-Kitenge alikua face to face na mtuhumiwa siku ile na ndie alimzuia,kasema Ni mwenyenywe!!!
 
Siyo kung'atuka tu bali kufunguliwa mashitaka ajieleze vizuri mbele ya sheria na haki itendeke!

Siro ni nani katika nchi hii, mbona ananyamaziwa kiasi hichi???

Nafikiri wakubwa wanatumia hekima ya subira yavuta heri kwani naamini walioshika usukani sasa hivi bado wanamwona kwenye side mirror na akipotea hapo ndio mazimaa
 
Mungu yupo, Aliyejifanya Mungu mtu na kuruhusu yote haya, Mungu ameishaonyesha hakuna aliyejuu yake. Sasa waliobaki wataendelea kuumbuka siku hadi siku. Ni wakati wa kujitafakari sasa.
 
Nape itabidi athibitishe kama ndiye kweli

Lier test? Hata kama hataki kumshtaki kwa sababu zake lakini awaambie watanzania kuwa ndie au sio halafu watu wakahakiki kwa Harmorapa aliyekimbia mpaka chalinze
 
Let’s hope so. Sirro ni indiketa tu ya uozo uliopo. Kumuondoa ni Rais kuonyesha utashi wa kisiasa kulisafisha jeshi la polisi.

Lakini, ninachokiona weledi wa majeshi yetu ya usalama umeshuka sana. Putting aside the debate on morals and ethics, askari siku hizi wanaji-expose ovyoovyo kama vibaka wa mitaani.

Wanasuka mission za kitoto, huoni brains za maana ndani yake. Na wengine sijui kwa ujinga wanajisikia ufahari kujulikana when they ought to be deep in the shadows.

No wonder inadaiwa siasa za CCM zimeteka majeshi na kurundika vijana wengi wahuni huko. They are bungling everything. Na kazi zao kuu ni kupambana na “maadui” wa kisiasa, kutisha wanyonge na kufanya ujambazi. Akitokea jahili wa kweli kweli kama Hamza wanapata tabu sana. Wanaokolewa na maveteran wachache (real professionals) waliopo.
Rais SSH alipopata muda aliongea mengi kinyume na mwenendo mzima wa jeshi la polisi wa miaka ya karibuni. Kama upo ubunifu miongoni mwa mabosi wao aliyoyasema SSH yanapaswa kuwa changamoto ya kuanzia mabadiliko ya kweli ya jeshi la polisi.

Elimu ni tatizo, polisi hawapo kisasa kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia ya kidunia. Bado jeshi limejaa uonevu wa kipuuzi, bado kuna maamuzi yasiyoendana na ukubwa wa tukio husika.

Polisi wetu wanapaswa kuwa ni wa kisayansi kuliko kuishia kukamata wahudhuriaji wa mikutano ya CHADEMA.
 
Kisanduku alikua ni miongoni mwa walinzi wa zero brain.

Alipelekwa Pemba baada ya matukio mfululizo ni mtu pia mwenye misifa sifa isiyokua na maana ile awamu ilijaa mazuzu nao hii nayo ni muendelezo.
True toka lini Henry Kisanduku akawa mrakibu wa police
 
Lakini Huyu Mliemsema Hapo anaitwa Gilbert

Sio yeye alietoa bastola siku ile angalien vizuri picha..Sielewi kwanini Gazeti la Mwananchi limekua na oversight kubwa kama hii.
 
Rais SSH alipopata muda aliongea mengi kinyume na mwenendo mzima wa jeshi la polisi wa miaka ya karibuni. Kama upo ubunifu miongoni mwa mabosi wao aliyoyasema SSH yanapaswa kuwa changamoto ya kuanzia mabadiliko ya kweli ya jeshi la polisi.

Elimu ni tatizo, polisi hawapo kisasa kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia ya kidunia. Bado jeshi limejaa uonevu wa kipuuzi, bado kuna maamuzi yasiyoendana na ukubwa wa tukio husika.

Polisi wetu wanapaswa kuwa ni wa kisayansi kuliko kuishia kukamata wahudhuriaji wa mikutano ya CHADEMA.

Tuliambiwa hatuhitaji wenye ufaulu mzuri ama mm nimesahau - nirekebishe
 
Jamaa yako hana mke Askari?!! Yanga ilipokua inacheza Moro ama Tanga alikua hasafiri mikoa hiyo kwenda kucheki game?!! Jamaa yako sio mrefu kimo kile?!! Jamaa yako haongei kwa jaziba na kama anafoka?!! Jamaa yako sio left handed?!! Jamaa yako sio maji ya kunde?!!

Binafsi kuonekana mweupe kwenye picha hiyo ya gazeti nashangaa kidogo kwani Gilbert ni mweusi kama kwenye ile clip ya bastola,Ila siwezi kushangaa kuonekana mweupe kwa picha ya passport size/selfie maana yaweza kua studio imependezesha!! Ila Kuna vitu vingi ambavyo vinarandana na mtuhumiwa,zaidi ya 80%

NB-Kitenge alikua face to face na mtuhumiwa siku ile na ndie alimzuia,kasema Ni mwenyenywe!!!
Umechemsha, Gilbert si mweusi. Hajawahi, na hatumii mkono wa kushoto si left handed. Uliza wanao mfahamu, Kitenge hamjui! Huna hoja ndugu yangu unaongozwa na hisia. Huyo Gilbert miaka mingi amekuwa Musoma, na Mtwara, hata wakati Nape anaoneshewa bastora Gilbert Kalanje hakuwa Dar. Acha kulazimisha.
Gilbert ni Mrakibu wa Polisi, anacheo. Yule Henry Kisanduku wala si Mrakibu. Itakuwaje Henry Kisanduku awe Gilbert. Tafuta taarifa za nyuma, tazama picha ya Henry Kisanduku aliye tuhumiwa. Hata majina hawaendani. Nadhani wewe humjui Gilbert Kalanje vizuri. Unaongea uongo tu na ushabiki. Hata huyu Kitenge unamsingizia tu. Navyo mjua Kitenge hajasema hilo, na siku hiyo walikuwepo watu wengi tu na video ilionekana. Na Nape alimtaja kuwa ni Henry Kisanduku!
Unakuja na vihoja vya kitoto eti jamaa yako hana mke? Yaani kuna muda najiuliza hadi na cheka tu!
 
IGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta.

“Mheshimiwa Nape amefungua kesi. Ujue picha kuonekana haina maana kwamba yule mtu ataonekana kirahisi lakini upelelezi unaendelea kumtafuta aliyefanya tukio hilo. Wananchi watusaidie, maana suala la kumpata mhalifu ni ushirikiano, sisi tunaenda kwa taarifa, bila taarifa ya uhakika hatuwezi kufanikiwa,” amesema.

Kumbe baada ya tukio wakampeleka Mtwara halafu akaenda kujiongelesha Mtwara.

Sirro ni IGP aliyeandamwa na makando kando mengi sana ya watendaji wake katika ma IGPs wa hivi karibuni. Ajitafakari halafu wanaendesha taasisi hizi too mechanical yaani hwajui dunia sasa ilishabadilika na watu waelevu kuliko
 
Yametimia, ukizoea kula nyama ya mtu, huwezi kuwacha, yule askari aliyemtolea waziri Nape Nnauye bastola ni miongoni mwa askari Polisi wa Mtwara wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini.

Ni wakati muafaka sasa kwa Nape Nnauye kutumia madaraka yake, ili kuifufua na kesi ya kutishiwa kuuawa na hii kima ili kukomesha tabia hizi.

View attachment 2098003
Huyu anatumia majina mangapi? Wakati wa nape alitajwa ni heri kisanduku, huku kalanje, je ni huyo mtu mmoja?
 
Back
Top Bottom