Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.

Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
 
IGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta...
Hivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
 
Hata Jiwe kuuwawa kwake huyu ni mshiriki
 
MATAGA tukiwaambia mna matatizo ya akili muwe mnaelewa,tuliwaambia watu wenu ndio chanzo Cha matatizo mkawa mnaimba mapambio humu mkijifanya Mnawatukuza viongozi waovu na makundi Yao ya mauaji ya wasio julikana,
Leo Kiko wapi ?
 
Maana ya laana ndiyo hiyo.

Wote walioua, waliooteka, waliopoteza watu, kutesa na kuwadhulumu watu, watajulikana kwa majina yao, na laana itawafuata, kila mmoja kwa namna yake.

Makonda, huko aliko, ajue kipenga kimepulizwa. Miti imepukutisha majani, njiti zisizo na majani, siyo kichaka cha kutosha kujificha.
 
Natamani huyu mtu akatwe katwe then vipande vipande vyake wagawane familia ya Nape na Ndugu wa marehemu Mtwara. Huyu kazima ndiye aliyemshambulia Lisu Dodoma. Mm hata vidole tu mnipe nichanganye na miguu ya kuku nipigie msosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…