Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovuIGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta...
Days are numberedDunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usiku...
Nilisema kuwa haya yanayoendelea ni matokeo ya CCM, Watu wakanipinga....Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usiku...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umechelewa uzi ulishatufikia tangu alfajiri.
Hata Jiwe kuuwawa kwake huyu ni mshirikiHivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za cctv camera, ili la nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
HahahahhaUmechelewa uzi ulishatufikia tangu alfajiri.
Kweli kabisaTuwe tunachagua Majina ya kuwapa Watoto
Kumbe jamaa ni topoloDunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usiku...
Maana ya laana ndiyo hiyo.Hivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za cctv camera, ili la nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
Kumbe hakukamatwa kwa sababu ni mwanaccm! Sale yako mwendazake.Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usik...
Siro bado yupo kazini kutafuta niniIGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta...
Ni aibu sn