Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara Mussa Mussa kijana aliyekua anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao Mtwara hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi jeshi la polisi.
Askari wa Siro ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.
View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
View attachment 2097979