Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Polisi inatakiwa ivunjwe haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutolee ujinga hiyo picha ya kwanza tunaona matako na mgongo na hii unatuonyesha sura na jina,Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara Mussa Mussa kijana aliyekua anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao Mtwara hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi jeshi la polisi.
View attachment 2097976
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
Askari wa Siro ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana .
View attachment 2097971
View attachment 2097979
Wewe ndio mjinga na mpashkuna.Tutolee ujinga hiyo picha ya kwanza tunona matako na mgongo na hii unatuonyesha sura na jina,
Mbona zamani hukutaja jina na sura ya huyo askari mpaka iwe leo?
Tutaaminije kama ndie au siye?
Usiwe unaleta vistory vya kike na wake wenza wako humu,
Huyu na wale sita wa Kesi ya Mbowe lazima atakuwa na uhusiano nao tu.Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu tarehe 23.3.2017 ambaye alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais mwendazake kwa sakata la makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara Mussa Mussa kijana aliyekua anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao Mtwara hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi jeshi la polisi.
View attachment 2097976
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
Askari wa Siro ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana .
View attachment 2097971
View attachment 2097979
Vyombo collateral mbona havikuchukua advance responsibility kama Polisi walishindwa?Sirro ni IGP wa hovyo haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. katika kipindi chake raia wengi wameumizwa na kupotea.
Kwa mikakati ya kuiba kura za wapinzani.Hivi kamanda ziro alifikaje hapo alipo?
Na bado laana wanazopata Yeye mwenyewe na Uzao wake wote.Karma is a nice bitch.
Usipotubu na kuomba rehema lazima itakusebengua na kukuaibisha
Mara nyingi huwa nasema Siro ni gaidi.IGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta.
“Mheshimiwa Nape amefungua kesi. Ujue picha kuonekana haina maana kwamba yule mtu ataonekana kirahisi lakini upelelezi unaendelea kumtafuta aliyefanya tukio hilo. Wananchi watusaidie, maana suala la kumpata mhalifu ni ushirikiano, sisi tunaenda kwa taarifa, bila taarifa ya uhakika hatuwezi kufanikiwa,” amesema.
Kumbe baada ya tukio wakampeleka Mtwara halafu akaenda kujiongelesha Mtwara.
Mimi nilidhani baada ya Tukio alipelekwa kufichwa huko Paris au Panama. Kumbe Mtwara huko porini???IGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta.
“Mheshimiwa Nape amefungua kesi. Ujue picha kuonekana haina maana kwamba yule mtu ataonekana kirahisi lakini upelelezi unaendelea kumtafuta aliyefanya tukio hilo. Wananchi watusaidie, maana suala la kumpata mhalifu ni ushirikiano, sisi tunaenda kwa taarifa, bila taarifa ya uhakika hatuwezi kufanikiwa,” amesema.
Kumbe baada ya tukio wakampeleka Mtwara halafu akaenda kujiongelesha Mtwara.
Jinai haifi. Wale wote waliofanya maovu watatia pingu tu hata baada ya miaka 30 ijayo.Nape anasema alishamsamehe ila jinai haisameheki ni Mahakama tu itaamua
Tanzania ya leo kumekuwa na huzushi mkubwa. Nashaangaa gazeti la Mwananchi kuzusha habari za uongo. Siku zote hilo gazeti au mtu mwingine hakuna alie mtambua aloshika siraha kwa Waziri nape. Walionesha picha tofauti na hii.Kumbe hakukamatwa kwa sababu ni mwanaccm! Sale yako mwendazake.
Kweli Mungu ameiumba dunia duara, bad deeds always cathes up with you.Dunia inazunguka kwa kasi.