Yule alikuwa ni Jinamizi.Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.
Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Najuta sana kushabikia timu na mshenzi kama huyoKumbe ni mwanachi!!
Inawezekana alipelekwa dar kwa kazi maalumKwanza walisema yule anaitwa Henri Kisandaku sijui, huyu ana jina la kiislam. Isitoshe huyu yupo Mtwara miaka mingi sana, sasa sijui Dar alipelekwa lini
Anapaswa kujiuzuru, ana makosa mengi sana yaliyowazi mbele za macho ya raia.Hivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
Alivyostuka kama gari ni ya Jimmy akawa mpole?Gilbert nimemfahamu akiwa polisi Kawe,tulipoenda kumkabizi mtu alietutapeli dola 5000. Baadae alitugeukia kibao hapo hapo kua boss wangu anaendesha gari ya wizi!! Akatutaka tuiache polisi(lengo kututingisha kwenye mhalifu wetu kwani ni rafiki yao)
Uzuri gari ile tulikodi na mmiliki ilikua ni Jimmy Mwang'onda.
Baadae akahamishiwa osterbay.
Ni shabiki mkubwa sana wa Yanga, kwa muda mchache niliomjua,sishangai sana anayohusishwa nayo,alijiona mungu mtu fulani,utumishi ulimlevya!!
Acha kukurupuka, soma mada uelewe, Mada iliyopo ni kuhusu alie mtolea bastora waziri Nape kuwa ni mmoja wa watuhumiwa, na ikawekwa picha yake. Hizo ni habari za uongo, askari alie tuhumiwa si alie mshikia Waziri Nape silaha, ndicho nimekanusha kuwa Gazeti limedanganya. Penye ukweli tuache ukweli, si kutumia uongo kumchafua mtu. Huyo askari ana haki ya kushitaki hilo Gazeti.Unachotetea ni watu kutishiwa maisha kwa kunyoshewa silaha za moto. Umeona uchungu habari za mwananchi kuliko matukio ya kifedhuli ?!
Mwendazake alituharibia nchi na mambo ya wasiojulikana, ambao leo wanajulikana . Ulikuwa utamaduni wa kishenzi sana
Wameweka picha ya huyo nae mzungumzia. Kwanini waweke picha yake!Wewe unamzungumzia mmoja wakati walioshikwa ni 7
Ndugu yangu, ni kweli na ninauhakika. Hapa nishawambia nduguze wanunue gazeti hilo na walitunze. Kesi ya madai lazima.Kama ni kweli mwambie jamaa akitoka sero afungue kesi na adai fidia milioni 100,, mie mnigawie laki 5 tu ya consultation fee. [emoji23]
Uwezi weka picha ya mtu katika habari isiyoendana na muhusika, tena habari yenyewe ni tuhuma. Huu ni uandishi ucharwa. Hiyo wamemzalilisha Bwana Kalanje ambaye sasa picha yake inasambaa mitandaoni na watu wanajua kuwa yeye ndo alimtolea Nape silaha. Tusubiri!Achana na mambo ya picha zakwenye mitandao.mtu anatambulika kwa majina yake.Hilo gazeti itakua limemhusisha huyo bwana kwa majina yake picha zimetumika tu kupambia habari nahiyo sio issue kubwa kuliko mhusika mwenyewe kutenda jambo na kutambulika kwa majina.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu sipingi usemacho, ila alie mtolea Nape silaha si Gilbert kulingana na picha na video. Kama unamfahamu kweli Gilbert. KIla binadamu anamadhaifu. Sidhani kama kuna mtu ambaye hajawai tenda baya. Kosa fulani aliwezi kuwa ndiyo hukumu ya kosa jingine au kuhalalisha kosa. Hapa issue je yule alomtolea Nape silaha kweli ni Gilbert? Wakati ule zilisambaa picha za mtu anaitwa Kisasandu.Gilbert nimemfahamu akiwa polisi Kawe,tulipoenda kumkabizi mtu alietutapeli dola 5000. Baadae alitugeukia kibao hapo hapo kua boss wangu anaendesha gari ya wizi!! Akatutaka tuiache polisi(lengo kututingisha kwenye mhalifu wetu kwani ni rafiki yao)
Uzuri gari ile tulikodi na mmiliki ilikua ni Jimmy Mwang'onda.
Baadae akahamishiwa osterbay.
Ni shabiki mkubwa sana wa Yanga, kwa muda mchache niliomjua,sishangai sana anayohusishwa nayo,alijiona mungu mtu fulani,utumishi ulimlevya!!
Cheki post namba 103Nape itabidi athibitishe kama ndiye kweli
Kwa akili ya kawaida tu mtu aliyemtolea Nape(tena akiwa waziri) alikuwa ni askari wa kawaida!?Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.
Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
Pia soma:
Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari
Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni...www.jamiiforums.com
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.
View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
View attachment 2097979
Kumbe ni shabiki wa Yanga? Ndio maanaaa.....Dunia inazunguka kwa kasi.

Hasa! Kosa kubwa lipi la gazeti la Mwananchi au polisi kutotimiza wajibu wake kwa wananchi wa kumtambua mtu aliyefanya jinai dhidi ya Nape mchana mbele ya watu wengi!Unachotetea ni watu kutishiwa maisha kwa kunyoshewa silaha za moto. Umeona uchungu habari za mwananchi kuliko matukio ya kifedhuli ?!
Mwendazake alituharibia nchi na mambo ya wasiojulikana, ambao leo wanajulikana . Ulikuwa utamaduni wa kishenzi sana
Aliyezoea vya kunyonga ataendelea na tabia hiyo.Ndugu yangu sipingi usemacho, ila alie mtolea Nape silaha si Gilbert kulingana na picha na video. Kama unamfahamu kweli Gilbert. KIla binadamu anamadhaifu. Sidhani kama kuna mtu ambaye hajawai tenda baya. Kosa fulani aliwezi kuwa ndiyo hukumu ya kosa jingine au kuhalalisha kosa. Hapa issue je yule alomtolea Nape silaha kweli ni Gilbert? Wakati ule zilisambaa picha za mtu anaitwa Kisasandu.
Na Gilbert wakati wa hiyo Issue hakuwepo Dar, alikuwa huko Musoma, baadae alihamishiwa Mtwara miaka mingi tu!
Ni kweli ni mshabiki kindakindaki wa Yanga!