Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Magu na Sirro walikuwa kama pete na kidole. Magu alilifanya jeshi la polisi ndio kila kitu hapa nchini. Mungu hakika ni fundi, kwa kuondoka yule mzee mengi yanafichuka sasa. Ndiomana Samia alitaka aachie nafasi yake kipindi kile akakataliwa, akabaki amejikalia kimya tu akipelekwa pelekwa.
Mama amtoe tu Sirro kwenye ile nafasi
 
Hivi kwa nini Siro anatumika sana kwenye uongo? Tukio la MO yeye ndo alidanganya Umma kwa kuleta picha za kawaida kusema ni za CCTV camera, ili la Nape nalo akadanganya kumbe bado ni askari, limekuja la Mbowe kaja kwenye camera anatoa na macho kua Kuna ushahid wa kutosha kua mbowe ni gaidi afu ushahidi wake ni huu tunao usikia. Huyu Siro inawezekana ana maovu mengi ndo inakua rahisi kutumika na waovu
Anapaswa kujiuzuru, ana makosa mengi sana yaliyowazi mbele za macho ya raia.
 
Wewe ndio mjinga na mpashkuna.

View attachment 2098027
200 (13).gif
 
Gilbert nimemfahamu akiwa polisi Kawe,tulipoenda kumkabizi mtu alietutapeli dola 5000. Baadae alitugeukia kibao hapo hapo kua boss wangu anaendesha gari ya wizi!! Akatutaka tuiache polisi(lengo kututingisha kwenye mhalifu wetu kwani ni rafiki yao)

Uzuri gari ile tulikodi na mmiliki ilikua ni Jimmy Mwang'onda.

Baadae akahamishiwa osterbay.

Ni shabiki mkubwa sana wa Yanga, kwa muda mchache niliomjua,sishangai sana anayohusishwa nayo,alijiona mungu mtu fulani,utumishi ulimlevya!!
Alivyostuka kama gari ni ya Jimmy akawa mpole?
 
Unachotetea ni watu kutishiwa maisha kwa kunyoshewa silaha za moto. Umeona uchungu habari za mwananchi kuliko matukio ya kifedhuli ?!

Mwendazake alituharibia nchi na mambo ya wasiojulikana, ambao leo wanajulikana . Ulikuwa utamaduni wa kishenzi sana
Acha kukurupuka, soma mada uelewe, Mada iliyopo ni kuhusu alie mtolea bastora waziri Nape kuwa ni mmoja wa watuhumiwa, na ikawekwa picha yake. Hizo ni habari za uongo, askari alie tuhumiwa si alie mshikia Waziri Nape silaha, ndicho nimekanusha kuwa Gazeti limedanganya. Penye ukweli tuache ukweli, si kutumia uongo kumchafua mtu. Huyo askari ana haki ya kushitaki hilo Gazeti.

Sasa weye unakuja na mambo ya Magufuli kwani hapa umeona nimeongelea Magufuli? Chuki zako na Magufuli tuache gazeti lipotoshe kuwa askari alietuhumiwa Mtwara, ati ndiye alie mtolea silaha Nape. Wewe ni waajabu saana. Fikiria, changanua kinachosemwa, na tafakari si kukurupuka na chuki zako na unaongea nje ya mada. Nadhani unamuota hata huyo ulie muongelea.
 
Achana na mambo ya picha zakwenye mitandao.mtu anatambulika kwa majina yake.Hilo gazeti itakua limemhusisha huyo bwana kwa majina yake picha zimetumika tu kupambia habari nahiyo sio issue kubwa kuliko mhusika mwenyewe kutenda jambo na kutambulika kwa majina.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uwezi weka picha ya mtu katika habari isiyoendana na muhusika, tena habari yenyewe ni tuhuma. Huu ni uandishi ucharwa. Hiyo wamemzalilisha Bwana Kalanje ambaye sasa picha yake inasambaa mitandaoni na watu wanajua kuwa yeye ndo alimtolea Nape silaha. Tusubiri!
 
Gilbert nimemfahamu akiwa polisi Kawe,tulipoenda kumkabizi mtu alietutapeli dola 5000. Baadae alitugeukia kibao hapo hapo kua boss wangu anaendesha gari ya wizi!! Akatutaka tuiache polisi(lengo kututingisha kwenye mhalifu wetu kwani ni rafiki yao)

Uzuri gari ile tulikodi na mmiliki ilikua ni Jimmy Mwang'onda.

Baadae akahamishiwa osterbay.

Ni shabiki mkubwa sana wa Yanga, kwa muda mchache niliomjua,sishangai sana anayohusishwa nayo,alijiona mungu mtu fulani,utumishi ulimlevya!!
Ndugu yangu sipingi usemacho, ila alie mtolea Nape silaha si Gilbert kulingana na picha na video. Kama unamfahamu kweli Gilbert. KIla binadamu anamadhaifu. Sidhani kama kuna mtu ambaye hajawai tenda baya. Kosa fulani aliwezi kuwa ndiyo hukumu ya kosa jingine au kuhalalisha kosa. Hapa issue je yule alomtolea Nape silaha kweli ni Gilbert? Wakati ule zilisambaa picha za mtu anaitwa Kisasandu.
Na Gilbert wakati wa hiyo Issue hakuwepo Dar, alikuwa huko Musoma, baadae alihamishiwa Mtwara miaka mingi tu!
Ni kweli ni mshabiki kindakindaki wa Yanga!
 
akili yangu ya jicho la tatu imegoma kuamini kuwa yule askari aliyemtolea nape risasi, yupo katika orodha ya asakari waliofanya tukio la mauaji mtwara. kuna mchezo unachezwa, tutafahamu tu mbele ya safari.

hivi tarehe tatu ndio siku ambayo makonda anatakiwa kufika mahakamani?.
 
Mie nafikiri kuna haja ya haraka sana ya kuwa na kitengo kinachojitegemea ambacho kitakuwa chini ya ofisi ya rais kuchunguza makosa yanayofanya na hawa watu wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama

Tuache siasa sasa hivi vyombo vya ulinzi na usalama havina tena imani kwa wananchi

Yaani siyo tena sehemu salama ya kupata msaada manake wanaamini kuwa wakifanya tukio watalindana manake hao hao ndo watakao unda tume

Yaani haki ya raia kuishi kwa amani yeye na mali zake siyo tena swala la msingi

Na siasa zimeteka sana majeshi yetu kwa kweli. Manake kuna baadhi ya viongozi wLidirikikusema alomtishia Nape hakuwa askari ili kulinda ugali wao na bado wako kwenye system.
 
Dunia inazunguka kwa kasi.

Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.

Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.

Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.

Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara

Pia soma:

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202

Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.

View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.

View attachment 2097979
Kwa akili ya kawaida tu mtu aliyemtolea Nape(tena akiwa waziri) alikuwa ni askari wa kawaida!?
Acheni ukasuku!
 
Dunia inazunguka kwa kasi.

Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.

Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.

Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.

Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara

Pia soma:

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202

Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.

View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.

View attachment 2097979
Kumbe ni shabiki wa Yanga? Ndio maanaaa.....
 
Unachotetea ni watu kutishiwa maisha kwa kunyoshewa silaha za moto. Umeona uchungu habari za mwananchi kuliko matukio ya kifedhuli ?!

Mwendazake alituharibia nchi na mambo ya wasiojulikana, ambao leo wanajulikana . Ulikuwa utamaduni wa kishenzi sana
Hasa! Kosa kubwa lipi la gazeti la Mwananchi au polisi kutotimiza wajibu wake kwa wananchi wa kumtambua mtu aliyefanya jinai dhidi ya Nape mchana mbele ya watu wengi!
 
Ndugu yangu sipingi usemacho, ila alie mtolea Nape silaha si Gilbert kulingana na picha na video. Kama unamfahamu kweli Gilbert. KIla binadamu anamadhaifu. Sidhani kama kuna mtu ambaye hajawai tenda baya. Kosa fulani aliwezi kuwa ndiyo hukumu ya kosa jingine au kuhalalisha kosa. Hapa issue je yule alomtolea Nape silaha kweli ni Gilbert? Wakati ule zilisambaa picha za mtu anaitwa Kisasandu.
Na Gilbert wakati wa hiyo Issue hakuwepo Dar, alikuwa huko Musoma, baadae alihamishiwa Mtwara miaka mingi tu!
Ni kweli ni mshabiki kindakindaki wa Yanga!
Aliyezoea vya kunyonga ataendelea na tabia hiyo.
Mwisho wa siku vitendo vyake alivyozoea ndio vitamuadhiri.
 
Back
Top Bottom