Huyu na mwili huu sio aliyemtolea bastola NAPE. Tangia zamani nilikuwa nakataa na hata sasa nakata huyu jamaa ni mtu wa Gym hivyo body yake ina utofauti sana na ile ya aliyemtolea bastola NAPE.
Gilbert kipindi hiko alikuwa na mwili mdogo tu kama ule na pia wanafanana urefu na yule aliyemtolea NAPE bastola, kitu nilichoona tofauti ni aina za miili yao ambapo kwa muonekano wa Gilbert mwili wake unauelekeo wa kuwa mkubwa, lkn yule wa NAPE anaonekana ni Mwembamba by nature.
Umechemsha, Gilbert si mweusi. Hajawahi, na hatumii mkono wa kushoto si left handed. Uliza wanao mfahamu, Kitenge hamjui! Huna hoja ndugu yangu unaongozwa na hisia. Huyo Gilbert miaka mingi amekuwa Musoma, na Mtwara, hata wakati Nape anaoneshewa bastora Gilbert Kalanje hakuwa Dar. Acha kulazimisha.
Gilbert ni Mrakibu wa Polisi, anacheo. Yule Henry Kisanduku wala si Mrakibu. Itakuwaje Henry Kisanduku awe Gilbert. Tafuta taarifa za nyuma, tazama picha ya Henry Kisanduku aliye tuhumiwa. Hata majina hawaendani. Nadhani wewe humjui Gilbert Kalanje vizuri. Unaongea uongo tu na ushabiki. Hata huyu Kitenge unamsingizia tu. Navyo mjua Kitenge hajasema hilo, na siku hiyo walikuwepo watu wengi tu na video ilionekana. Na Nape alimtaja kuwa ni Henry Kisanduku!
Unakuja na vihoja vya kitoto eti jamaa yako hana mke? Yaani kuna muda najiuliza hadi na cheka tu!
Jamaa yako hana mke Askari?!! Yanga ilipokua inacheza Moro ama Tanga alikua hasafiri mikoa hiyo kwenda kucheki game?!! Jamaa yako sio mrefu kimo kile?!! Jamaa yako haongei kwa jaziba na kama anafoka?!! Jamaa yako sio left handed?!! Jamaa yako sio maji ya kunde?!!
Binafsi kuonekana mweupe kwenye picha hiyo ya gazeti nashangaa kidogo kwani Gilbert ni mweusi kama kwenye ile clip ya bastola,Ila siwezi kushangaa kuonekana mweupe kwa picha ya passport size/selfie maana yaweza kua studio imependezesha!! Ila Kuna vitu vingi ambavyo vinarandana na mtuhumiwa,zaidi ya 80%
NB-Kitenge alikua face to face na mtuhumiwa siku ile na ndie alimzuia,kasema Ni mwenyenywe!!!
Inasikitisha sana maovu mengi yalifanyika wakati Mjomba Magu akiwa kwenye usukani.
Na aliposema anapigana vita ya uchumi,kumbe alitengeneza pia vikundi vya kigaidi ndani ya mikono ya sirikali.
Nakumbuka Raisi SSH aliwahi kusema kuna kesi nyingi za kubumba,na amekuwa mara kwa mara anayaweka wazi maovu yanayofanywa na polisi.
Itachukuwa miaka mingi kusafisha kabisa vyombo vya usalama.
Tanzania ya leo kumekuwa na huzushi mkubwa. Nashaangaa gazeti la Mwananchi kuzusha habari za uongo. Siku zote hilo gazeti au mtu mwingine hakuna alie mtambua aloshika siraha kwa Waziri nape. Walionesha picha tofauti na hii.
Na watu tunashabiakia. Niongee ukweli picha ya huyu jamaa na yule aloshika bastora ni tofauti. Wakitaka waoneshe uso wa alie shika bastora. Naongea hivi nikiwa na uhakika, kwani huyu Afisa alopata masahibu huko Mtwara, namjua vizuri sana. Nimekuwa nae toka utoto mpaka anaanza kazi. Namjua in and out! Hakuwepo katika hilo tukio na hakuwahi mshikia bastora Nape kama wanavyodai.
Wasione yupo gerezani wakatumia nafasi ya kutunga maneno na kusema uongo. Ila kuna siku hili gazeti wataingia matatani kwa kumchafua mtu. Na ijulikane wazi kuwa mahakama ndo pekee inayotoa haki, na kumuweka mtu hatiani. Kwa hili nauhakika asilimia 100 gazeti la Mwananchi limesema uongo. Kama wanajiamini watoe picha halisi full photo ya huyu askari na huyo aloshika bastora. Vazi alovaa ni jezi ya Yanga si CCM. Tuache uzushi. Tanzania tumekuwa na ushabiki bila kutafakari kinachosemwa. Kisa kujenga chuki tu!
Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.
Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Mie nafikiri kuna haja ya haraka sana ya kuwa na kitengo kinachojitegemea ambacho kitakuwa chini ya ofisi ya rais kuchunguza makosa yanayofanya na hawa watu wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Tuache siasa sasa hivi vyombo vya ulinzi na usalama havina tena imani kwa wananchi
Yaani siyo tena sehemu salama ya kupata msaada manake wanaamini kuwa wakifanya tukio watalindana manake hao hao ndo watakao unda tume
Yaani haki ya raia kuishi kwa amani yeye na mali zake siyo tena swala la msingi
Na siasa zimeteka sana majeshi yetu kwa kweli. Manake kuna baadhi ya viongozi wLidirikikusema alomtishia Nape hakuwa askari ili kulinda ugali wao na bado wako kwenye system.
Imagine nape alimfanyia vile hadharani,na hili tukio la mtwara jamaa atakua mtu wa namna gani kwa kina sie pangu pakavu!takukuru ifuatilie mali anazomiliki huyu jamaa na hakika watapata majibu jamaa ni jambazi aliekua anatumia ujambazi wake kwa kivuli cha upolisi wake
Shida yako ufatilii mambo. Kama ulifatilia toka mwanzo, alomshikia bastora Nape anaitwa Henry Kisanduku, na alitajwa na picha zake zilienea kila mahala. Pia kama unasoma maoni ya watu wengi humu utajua nini nachoongea. Swala la kujulikana si hoja. Watu wangapi wanajulikana lakini hawasemi ukweli? Pia humu kulikuwa na uzi uliletwa na mmoja wa memba ukieleza Gazeti la Mwananchi kukosea kutoa picha ya Gilbert.
Lakini sikulazimishi uamini nikisemacho. Utashi tunatofautiana. Nimeeleza nacho kifahamu, sijalazimisha mtu kuamini nacho sema. Be Blessed!
IGP Sirro aliwahi kusema mtu huyo alikimbia na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta. Amesema kuonekana kwa picha za mtu huyo haina maana kwamba atapatikana kwa urahisi hivyo jeshi hilo linaendelea kumtafuta.
“Mheshimiwa Nape amefungua kesi. Ujue picha kuonekana haina maana kwamba yule mtu ataonekana kirahisi lakini upelelezi unaendelea kumtafuta aliyefanya tukio hilo. Wananchi watusaidie, maana suala la kumpata mhalifu ni ushirikiano, sisi tunaenda kwa taarifa, bila taarifa ya uhakika hatuwezi kufanikiwa,” amesema.
Kumbe baada ya tukio wakampeleka Mtwara halafu akaenda kujiongelesha Mtwara.
Shida yako ufatilii mambo. Kama ulifatilia toka mwanzo, alomshikia bastora Nape anaitwa Henry Kisanduku, na alitajwa na picha zake zilienea kila mahala. Pia kama unasoma maoni ya watu wengi humu utajua nini nachoongea. Swala la kujulikana si hoja. Watu wangapi wanajulikana lakini hawasemi ukweli? Pia humu kulikuwa na uzi uliletwa na mmoja wa memba ukieleza Gazeti la Mwananchi kukosea kutoa picha ya Gilbert.
Lakini sikulazimishi uamini nikisemacho. Utashi tunatofautiana. Nimeeleza nacho kifahamu, sijalazimisha mtu kuamini nacho sema. Be Blessed!
Tunapo sema kwa Ujasiri kuwa Magufuli alikuwa muovu na kibaraka wa Ibilisi muwe mnaelewa na Wala hatuna ugomvi binafsi bali ni matendo yake ya kifedhuli dhidi ya Binadamu.
Kama yule mzee hayupo motoni basi hakuna Mungu tuendelee kutenda dhambi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.
Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni...
Inasikitisha sana maovu mengi yalifanyika wakati Mjomba Magu akiwa kwenye usukani.
Na aliposema anapigana vita ya uchumi,kumbe alitengeneza pia vikundi vya kigaidi ndani ya mikono ya sirikali.
Nakumbuka Raisi SSH aliwahi kusema kuna kesi nyingi za kubumba,na amekuwa mara kwa mara anayaweka wazi maovu yanayofanywa na polisi.
Itachukuwa miaka mingi kusafisha kabisa vyombo vya usalama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.