Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Dunia inazunguka kwa kasi.

Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.

Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.

Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.

Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara

Pia soma:

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari


View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202

Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.

View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.


View attachment 2097979
View attachment 2098356
Huyu wamfanyizie assacination maana alishazowea kuua huyu na kujifanya hajulikani
 
View attachment 2113028

Huyu wa kulia ndiye aliyemtisha Nape Nnauye kwa bastola hadharani mchana kweupe kwa jeuri ya JPM! Muwe mnajiongeza. Hawa watawala mnaowatetea kwa gharama yoyote wanapita.
Tena akapandishwa cheo na kuwa OC-CID Mtwara.
Hawa ndo wale wasiojulikana (Kitengo X) kitengo cha Hali ya Usalama wa nchi kilicho chini ya DCI.
Na kipindi hicho DCI alikua mjeshi sio polisi.
 
Back
Top Bottom