SUTE
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 301
- 232
Hivi kumbe wasiojulikana huwa ni askari; ila kweli raia iweje mpaka asijulikane kwa maaskari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe wasiojulikana huwa ni askari; ila kweli raia iweje mpaka asijulikane kwa maaskari
Huyu wamfanyizie assacination maana alishazowea kuua huyu na kujifanya hajulikaniDunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani Mtwara, Mussa Mussa kijana aliyekuwa anajitafutia maisha yake.
Sirro na Makonda walijua Mtwara ni mkoa wa kusadikika wakimficha mtu wao huko hatajulikana kama ambavyo tuliaminishwa kuwa hafanyi kazi Jeshi la Polisi.
Askari huyu wa Sirro ni ndugu Gilbert Kalanje na anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara
Pia soma:
Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari
Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni...www.jamiiforums.com
View attachment 2098004
Gazeti la mwananchi la leo tarehe 28.1.202
Wasiojulikana wanaendelea kujulikana.
View attachment 2097971
Askari wa Sirro akiwa na bastola na pingu mwaka 2017.
View attachment 2097979
View attachment 2098356
Nape yeye alisema alishamsamehe.Jinai haifi , Nape inabidi alale nae mbele kwa mbele kwa kesi ya kutishia kuua.
Tena akapandishwa cheo na kuwa OC-CID Mtwara.View attachment 2113028
Huyu wa kulia ndiye aliyemtisha Nape Nnauye kwa bastola hadharani mchana kweupe kwa jeuri ya JPM! Muwe mnajiongeza. Hawa watawala mnaowatetea kwa gharama yoyote wanapita.
Mbona POLICE hawajakanusha?
Wametoa tu ufafanuzi kuhusu askari aliyejiua