WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Wana nchi yao inayoitwa ZANZIBAR,wana Bendera yao ya Taifa la Zanzibar,wana wimbo wao wa Taifa la Zanzibar,wana Rais wao wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar.Umesema ina mamlaka yake si ndio?.
Mamlaka gani?.
Unakumbuka mamlaka ya serikali ya Salmin Amour Juma(rais wa 5 wa zanzibar) alijiunga na OIC kwanini Nyerere alitaka wajitoe?