4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wewe wenda hu mmoja wao, ipo siku utaelewa,Nzito kivipi? Nyie watu mnaoenda kujidanganya aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wenda hu mmoja wao, ipo siku utaelewa,Nzito kivipi? Nyie watu mnaoenda kujidanganya aisee
Wanyamwezi na wachaga wote ni Watanganyika, ni tofauti na kesi ya bandari yetu ambayo raia wa nchi nyingine wamesaini mikataba kwa niaba ya raia wa nchi nyingine! Mbaya zaidi mkataba huo unaonekana kuwa wa kinyonyaji na kinachoshtua zaidi upande wanaotoka waliosaini (Zenji) hauhusiki kwenye utekelezaji wa mkataba huo!Hivi kuna rais/mawaziri walio laumiwa kusaini mkataba kwa sehemu walio tokea?.
Au Mnyamwezi kulaumu Mchaga kwa kusaini mkataba mbovu.
😅😅😅Endelea kukaririNinachojua bandari za Tanganyika zinauzwa na Mzanzibari. Hicho unachojua ww hakina maana yoyote kwetu wengi.
Ishu ninachosema sio mjadala kuhusu hizo sema ni kwamba zinasaidia na ufanisi unaonekana basi ni kheri.Je asipoleta ufanisi? Ndo hapo kipengere cha muda kinakua na umuhimu. Na kuhusu luzuku kwa hospital za kanisa ni kwa ajili ya serikali kua na uwezo wa ku control bei za matibabu kwenye hizo hospital unategemea kwa mgonjwa anaeitaji kufanyiwa operation ata ya mguu tu milioni moja inatosha kwa hospital binafsi? Mkitaka kujua uchungu wa maisha kwa wenye wagonjwa na wagonjwa wenyewe basi hizo hospital Za kanisa ambazo zipo nyingi tu Tanzania ziwe 100% private. Ujue ni biashara hiyo hakuna kupangiana bei Tena. OP tu unaambiwa milioni 10 ndo utajua hujui
Hivi kuna Tanzania bila Tanganyika??Sasa ulitaka mtu MWEHU kama huyo asiyejua kuwa hatuna nchi inayoitwa TANGANYIKA aendelee kupewa nafasi ili achangie nini!?.Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964 huko.
Mamburura mko wengi sana hapa Tz.
Sasa machafuko halafu ndio mtawale au? Tanzania hakuna machafuko na haitatokea. Hivi uchaguzi halali ni mpaka wapinzania washinde tu? Hao viongozi wengine ni kina nani, maana tuwekane sawa ni kina nani hao wa ridhaa? Uchaguzi sio katika uchaguzi mkuu tu hata serikali za mitaa ndio CCM wamekamata. Shida ya wapinzani wakisoma huko tweeter wanaamini basi nchi wanabeba lakini mitaani watu wana mashaka sana na wapinzani uwezo wao. Wapinzani wengi ni wale walioshindwa CCM wanatafuta njia nyepesi ya kupita. Tanzania hakuna wapinzani ni watu wanatafuta kick za kupita nazo basi.Hujui wanaungwa mkono kwa asilimia ngapi maana hakuna mwanaccm mwenye kutaka uchaguzi wa halali kwani ukweli wanaujua. Machafuko pekee ndio yatafanya Tanzania kuongozwa na viongozi wenye ridhaa ya wananchi. Huo ubinafsi ungewaambia ccm waheshimu uchaguzi tujue ukweli.
Ccm kuwa na watu waliokunywa maji ya bendera hakuna anayekataa wala kwetu sio tatizo kabisa, ndio maana tunataka uchaguzi wa halali ili waongeze hayo maji ya bendera. Ni kweli hakuna wa kuitoa ccm madarakani kwa nguvu, maana bado vyombo vya dola ndio roho yao. Hapo ndipo tunaposhuhidia chaguzi za kihayawani ili tu ccm ibaki madarakani.
Linapokuja suala la kutolewa kwa sera hilo liko wazi wanatoka kirahisi mno, ndio maana wanategemea mbeleko ya vyombo vya dola tu kusalia madarakani kwa shuruti. Ni mtu mjinga tu anaweza kuamini kuwa CCM iko madarakani hasa miaka hii 15 iliyopita kwa sera. Hicho kizazi cha kuamini sera za CCM kilishapita.
Huyu Msigwa kanishangaza Sana yaani anamlazimisha mwananchi kusema uongo?
Kipindi bimkubwa anaenda dubai expo wakajua anaenda ........Ndugai aliposema nchi itakuja kupigwa bei, mlimfurusha uspika na Wengine mlienda mbali zaidi na kumpa majina yote mabaya.
Hili lGA ya bandari ni moja kati ya IGAs /MOU nyingi zilizosainiwa pale Dubai na serikali yenu tukufu.
MOU ya 17 ikiwa implimented, itawarudisha utumwani.
Nyie endeleeni tu kupayuka anaupiga mwingi
Sawa. Nafuta kauliTuwaachie wanasheria ww na Mimi ni wapiga kelele tu
Labda ana ndoto za kurudishiwa uspika.Ndugai mwenyewe anaunga mkono mkataba anasema ni mkataba mzuri sana huu,
Sasa machafuko halafu ndio mtawale au? Tanzania hakuna machafuko na haitatokea. Hivi uchaguzi halali ni mpaka wapinzania washinde tu? Hao viongozi wengine ni kina nani, maana tuwekane sawa ni kina nani hao wa ridhaa? Uchaguzi sio katika uchaguzi mkuu tu hata serikali za mitaa ndio CCM wamekamata. Shida ya wapinzani wakisoma huko tweeter wanaamini basi nchi wanabeba lakini mitaani watu wana mashaka sana na wapinzani uwezo wao. Wapinzani wengi ni wale walioshindwa CCM wanatafuta njia nyepesi ya kupita. Tanzania hakuna wapinzani ni watu wanatafuta kick za kupita nazo basi.
Nakubaliana na wewe, Tanganyika haipo. Je, Zanzibar ipo?Sasa ulitaka mtu MWEHU kama huyo asiyejua kuwa hatuna nchi inayoitwa TANGANYIKA aendelee kupewa nafasi ili achangie nini!?.Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964 huko.
Mamburura mko wengi sana hapa Tz.
Anajenga kwa pesa yake?Sasa ww Kwa akili Yako huo ni uungwana tuache ushabiki wa kijinga huyo mnayesema c mtanganyika ndio anajenga vituo vya afya,shule,barabara,uhuru wa vyombo vya habari tuache ujinga wa kubaguana
Ishu ninachosema sio mjadala kuhusu hizo sema ni kwamba zinasaidia na ufanisi unaonekana basi ni kheri.
Point yangu je kama Dp world akileta ufanisi na nchi inanufaika kuna tatizo jamani?
TICTS alikosa ufanisi basi akaondolewa hilo sio tatizo kufuatilia performance ya mkataba kama atashindwa kuleta ufanisi anatimuliwa hata kwa mutual agreement.
Unaongea rafu bila ushahidi wowote inakuwa ngumu kukubaliana na wewe, hizi rafu ni dhana tu kwa yoyote anliyeshindwa hata huko USA tunakoamini wako juu sana kwenye chaguzi lakini kuna na issues rafu sijui nchi fulani imedukua haya mambo hayawezi kuisha. Mimi sisemi chaguzi ziko perfect 100% lakini pia sina shaka kuwa CCM wameshinda huku vijijini CCM ushawishi wao ni mkubwa sana hili halina shaka. Kura tunagawana humu mijini tuKwamba huko kwenye chaguzi za serikali za mitaa CCM huwa ndio wanashinda kihalali, lakini kwenye mkuu ndio wanapora? Au unadhani zile chaguzi huwa zinafanyika sisi tukiwa nje ya nchi? Kama wapinzani wanaamini wanachokiona huko tweeter, si ndio ilikuwa mahali pa ccm kufanya chaguzi za halali ili ukweli uwe wazi? Sasa unasema inakubalika, sijui ina sera nzuri, wananchi hawana imani na upinzani, lakini kwenye uchaguzi ndio unaoongoza kwa rafu!
Yaani ndani ya ndoa mke sawa kuitwa mke, lakini mume asiìtwe mume maana ni ubaguzi!Acha unafiki, mzanzibari aitwe mzanzibari ila mtanganyika asiitwe mtanganyika. Huu muungano ni ujinga.
Yes it goes both ways.. Kama hawataki nao wabadiliAcha ujinga hapa Kuna nchi mbili tanganyika na Zanzibar na ndio maana huyo mwanasheria koko kasema Zanzibar kama nchi inasheria zake kwenye bandari zake Sasa iweje waliotoka huko Zanzibar hamtaki watajwe kwamba ni wazanzibar?
Mama anaupiga mwingiNdugai aliposema nchi itakuja kupigwa bei, mlimfurusha uspika na Wengine mlienda mbali zaidi na kumpa majina yote mabaya.
Hili lGA ya bandari ni moja kati ya IGAs /MOU nyingi zilizosainiwa pale Dubai na serikali yenu tukufu.
MOU ya 17 ikiwa implimented, itawarudisha utumwani.
Nyie endeleeni tu kupayuka anaupiga mwingi
Waliosaini mkataba wanatokea Zanzibar ambayo ina mamlaka kamili,ina Serikali yake,ina Bunge lake na Mahakama zake.Pia ina Bendera yake ya Taifa na ina Wimbo wake.Hivi kuna rais/mawaziri walio laumiwa kusaini mkataba kwa sehemu walio tokea?.
Au Mnyamwezi kulaumu Mchaga kwa kusaini mkataba mbovu.