Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni rais wa Tanzania, lakini hayuko madarakani kwa uchaguzi halali. Hutaki saga chupa unywe.😅😅😅 Mzanzibar ndo Rais wako hakuna kitu utafanya ,utaongozwa mpaka kufa ..kaa kwa kutulia.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rais wa Tanzania, lakini hayuko madarakani kwa uchaguzi halali. Hutaki saga chupa unywe.😅😅😅 Mzanzibar ndo Rais wako hakuna kitu utafanya ,utaongozwa mpaka kufa ..kaa kwa kutulia.!
Huyo mdADA n mjinga tuKatika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo akashindwa kuuliza swali lake kuhusu DPW katika Mjadala wa bandari unaoendelea.
Kwahiyo umekuja na marking scheme au? Ww kama nani wa kuniuliza mimi na niwajibike kukujibu? Au kwakuwa unatetemekewa huko ofisini kwako ndio unadhani hata huku social media?😅😅😅Ndo nakuuliza isijekuwa nabishana na mtu hajui chochote ..
Niambie hili nijui uelewa wako.
[emoji28][emoji28][emoji28] Mzanzibar ndo Rais wako hakuna kitu utafanya ,utaongozwa mpaka kufa ..kaa kwa kutulia.!
😅😅Ndo Raisi hakuna kitu utafanya ,we ni wa kuongozwa tu .Ni rais wa Tanzania, lakini hayuko madarakani kwa uchaguzi halali. Hutaki saga chupa unywe.
Tanganyika ipo Ila umevaa Joho la Muungano macho dhaifu km ww ndio hawaioni lkn IPO TANGANYIKA na inafanya KAZI zake kila sikuSasa ulitaka mtu MWEHU kama huyo asiyejua kuwa hatuna nchi inayoitwa TANGANYIKA aendelee kupewa nafasi ili achangie nini!?.Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964 huko.
Mamburura mko wengi sana hapa Tz.
Hajui kutumia akili yake kuamua mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa, yeye anasubiri kuambiwa tu na anaowaamini, asijue hata kuchanganya na zake, matokeo yake akiharibu lawama zote kwake.Yaani hana confidence na haamini kwamba kwa rasilimali tulizonazo tunaweza kujisimamia wenyewe bila mwarabu.
Wakati Magufuli aliamini tuna uwezo wa kufanya chochote bila ya kumtegemea mtu yeyote.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Hamna unachojua ndo maana huna jibu kaangalie kipindi TICTS inafanya kazi kweny zile gati je bandari ilikuwa imeuzwa?Kwahiyo umekuja na marking scheme au? Ww kama nani wa kuniuliza mimi na niwajibike kukujibu? Au kwakuwa unatetemekewa huko ofisini kwako ndio unadhani hata huku social media?
Tanganyika ipo imevaa Joho la MuunganoNdiyo ni uhuru kwa Watanzania.Huyo MTANGANYIKA ni mzimu,maana Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe naye ni pimbi tu! Sasa kati ya Tanganyika na Zanzibar nani ana itikadi za kibaguzi? Jibu ni simple tu, wabaguzi ni hao wala urojo. Hawajivunii u-tanzania bali u-zanzibar wao. Kisiwa kina mikoa miwili tu lakini kina makamu wawili wa Rais.....hovyo kabisa! Imefika mahala kila upande wa muungano ujivunie utaifa wake kama ambavyo ni nadra sana kumsikia m-zanzibar akijiita yeye ni m-tanzania labda iwe kwa kumlazimisha!We hauna akili kabisa..Rais wa nchi ni nan ?
Punguza ubaguzi na upumbavu hata maendeleo hauna hao ndo viongozi wao watasaini na hakuna kitu utafanya...Sisi ndo tumekubali wewe hauna kitu zaidi ya maneno ya kibaguzi.
Sina maana tunaongelea ruzuku na mkataba ni milele .Mkuu unahamini kabisa kua Bugando nae kcmc haziwezi kujiendesha bila usaidizi wa serikali? Wewe au mwanafamilia yako aumwe ndo utajua umuhimu wa hizo tahasisi. Hospital yoyote inaweza kujiendesha bila msaada wa serikali maana watu wanaumwa kila siku na lazima utibiwe ata kwa kuuza nyumba au ukoo uchange
Alikuwa na uncle Magu ikulu sasa tuko nae club houseKaonewa
Mwigulu hakuchaguliwa na Samia, alipewa jina na wakwere kwa ajili ya kulinda maslahi yao.Mimi nilimdharau pale tu alipomteua Lamecky kuwa Waziri wa Fedha na Mipango.
Tanganyika ilizikwa Zanzibar ikabaki sioSasa ulitaka mtu MWEHU kama huyo asiyejua kuwa hatuna nchi inayoitwa TANGANYIKA aendelee kupewa nafasi ili achangie nini!?.Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964 huko.
Mamburura mko wengi sana hapa Tz.
Alifanya kipi mwenyewe bila kumtegemea mwingine? SGR tunajenga Tanzania? Tunajenga kwa hela zetu?Yaani hana confidence na haamini kwamba kwa rasilimali tulizonazo tunaweza kujisimamia wenyewe bila mwarabu.
Wakati Magufuli aliamini tuna uwezo wa kufanya chochote bila ya kumtegemea mtu yeyote.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Nzito kivipi? Nyie watu mnaoenda kujidanganya aiseeNgoma ni nzito acha wachukulie poa
Sasa ww Kwa akili Yako huo ni uungwana tuache ushabiki wa kijinga huyo mnayesema c mtanganyika ndio anajenga vituo vya afya,shule,barabara,uhuru wa vyombo vya habari tuache ujinga wa kubaguanaKatika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo akashindwa kuuliza swali lake kuhusu DPW katika Mjadala wa bandari unaoendelea.