Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwa akili zako eti bandari inaweza kuuzwa.Kwahiyo hizi hospitali ni za wageni? Hata hivyo nyie kama wawakilishi wa waislamu mnaweza kuchukua hatua ya kuvunja hiyo MoU ya hizo hospitali, lakini ni hivi, bandari haiuzwi fullstop.
Mkataba utafnyiwa marekebisho na uendeshaji utafanyika kweny magati na hakuna kitu utafanya.
Binafsi wewe hujui chochote wala hauna hoja sema ni hofu za kanisa tu na umbea ,hata hujui kipind cha Ticts still TPA ilikuwa na nafasi yake ni hivyo hivyo kipind Cha Dp world TPA itabaki kama ilivyo.