kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Ndio maajabuHivi kuna rais/mawaziri walio laumiwa kusaini mkataba kwa sehemu walio tokea?.
Au Mnyamwezi kulaumu Mchaga kwa kusaini mkataba mbovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maajabuHivi kuna rais/mawaziri walio laumiwa kusaini mkataba kwa sehemu walio tokea?.
Au Mnyamwezi kulaumu Mchaga kwa kusaini mkataba mbovu.
Hahahaaa!.Watoto wazuri kama hawa wanapatikana CCM pekee.View attachment 2675685
Tuwaachie wanasheria ww na Mimi ni wapiga kelele tuNdugai aliposema nchi itakuja kupigwa bei, mlimfurusha uspika na Wengine mlienda mbali zaidi na kumpa majina yote mabaya.
Hili lGA ya bandari ni moja kati ya IGAs /MOU nyingi zilizosainiwa pale Dubai na serikali yenu tukufu.
MOU ya 17 ikiwa implimented, itawarudisha utumwani.
Nyie endeleeni tu kupayuka anaupiga mwingi
Tanzania ni mojaKatika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo akashindwa kuuliza swali lake kuhusu DPW katika Mjadala wa bandari unaoendelea.
Sasa ukianza kuomba machafuko huko ni ubinafsi kujali madaraka zaidi lakini nakuhakikishia hata hao unadhani Chadema ndio wataleta maendeleo hakuna lolote maana hata wao kupeana madaraka tu ndani ya chama shida, walijaribu watu kugombania vyeo ndani ya chama kilichowakuta tunajuwa. CCM wewe ikatae lakini wana watu tena watu waliokunywa maji ya chama. Kushinda % ngapi siwezi kusema ila bado hakuna chama cha kuwatoa CCM kinguvu au kisera. Humo ndani ya wapinzani tu mapandikizi ya CCM kibao sote tunajuwa.Hivyo vyama vya upinzani vimekuwa vikihujumiwa na dola na wala sio kukosa imani ya wananchi. Na ukweli huu uko wazi. Kama CCM ingekuwa na ushawishi huo kwa umma, tusingeshudia chaguzi za kihayawani kwa kiwango hiki. Kwa kukusaidia tu, ushawishi wa CCM ndani ya nchi hii ni chini ya 30%, huu ni ukweli unaofichwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola.
Ukweli ni kuwa CCM sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinatumia nguvu kubwa hasa ya dola kubaki madarakani. Ikitokea dola ikaamua kuwa neutral wakati wa kutangazwa matokeo, hakuna uwezekano wa CCM kusogelea hata 50% ya kura. Mmeishia kupora chaguzi za nchi hii, matokeo yake kila uchaguzi wapiga kura ambao ni vijana hawajitokezi tena. Hivyo chaguzi zetu kuwa na wapiga kura wachache sana. Kwa hapa tulipofika, machafuko tu ndio yatawatoa ccm.
Chadema gani Mimi Kwa akili zangu timamu cwezi chagua wapinzani wanao ombea machafukoSasa ukianza kuomba machafuko huko ni ubinafsi kujali madaraka zaidi lakini nakuhakikishia hata hao unadhani Chadema ndio wataleta maendeleo hakuna lolote maana hata wao kupeana madaraka tu ndani ya chama shida, walijaribu watu kugombania vyeo ndani ya chama kilichowakuta tunajuwa. CCM wewe ikatae lakini wana watu tena watu waliokunywa maji ya chama. Kushinda % ngapi siwezi kusema ila bado hakuna chama cha kuwatoa CCM kinguvu au kisera. Humo ndani ya wapinzani tu mapandikizi ya CCM kibao sote tunajuwa.
Katika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo akashindwa kuuliza swali lake kuhusu DPW katika Mjadala wa bandari unaoendelea.
Kabisa mtu yoyote anayehuburi machafuko au chama chochote tusiwavumilie na serikali iache kuvumilia ujinga huu. Tufanye mijadala lakini fujo ni RED LINE. liko lile li mwanamke mmoja Sarungi yeye anatutakia fujo tu sababu wana passport za uraia wa mama zao huko Sweden sijui. CCM imekuwa mbaya leo ila hakuona hayo wakati Baba yake yuko serikalini na wamekula matunda ya nchi hii ila hajui kutesa kwa zamu. Yule atakuwa kuna machungu Baba yake kapitia baada ya kupigwa chini sasa kachukulia issue personal. Hata Tz hayupo sijui kajificha Nairobi huko arudi to Dar aone atakavyo shughulikiwa. Kesi ya uchochezi na uchunguzi haujamalika ataoza ndani.Chadema gani Mimi Kwa akili zangu timamu cwezi chagua wapinzani wanao ombea machafuko
Hivi Kuna Mnyamwezi alishawahi kusaini mkataba wa uwekezsji wa serikali ya mapimduzi ya ZanzibarHivi kuna rais/mawaziri walio laumiwa kusaini mkataba kwa sehemu walio tokea?.
Au Mnyamwezi kulaumu Mchaga kwa kusaini mkataba mbovu.
Katika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo akashindwa kuuliza swali lake kuhusu DPW katika Mjadala wa bandari unaoendelea.
Ni kweli sitegemei watanzania 60m wote tutakuwa kwenye nafasi yake. Lakini haniongozi kwa ridhaa yangu hiyo inatosha kabisa, maana wala sijuvunii kuwa rais wa nchi masikini.😅😅Ndo Raisi hakuna kitu utafanya ,we ni wa kuongozwa tu .
Ninachojua bandari za Tanganyika zinauzwa na Mzanzibari. Hicho unachojua ww hakina maana yoyote kwetu wengi.Hamna unachojua ndo maana huna jibu kaangalie kipindi TICTS inafanya kazi kweny zile gati je bandari ilikuwa imeuzwa?
Mitanganyika mi myehuKatika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo akashindwa kuuliza swali lake kuhusu DPW katika Mjadala wa bandari unaoendelea.
😅😅😅Ni kweli sitegemei watanzania 60m wote tutakuwa kwenye nafasi yake. Lakini haniongozi kwa ridhaa yangu hiyo inatosha kabisa, maana wala sijuvunii kuwa rais wa nchi masikini.
Sina maana tunaongelea ruzuku na mkataba ni milele .
kama kitu kinatoa huduma kwa ufanisi hamna shaka kwa vile wote wananufaika,
Kama Dp world ataleta ufanisi katika kuhdumia shehena mbali mbalimbali basi sisi sote ni wanafaika pamoja serikali ,hii haina shida ya kuleta wasiwasi mimi na wewe wote tunafaidika.
Sasa ukianza kuomba machafuko huko ni ubinafsi kujali madaraka zaidi lakini nakuhakikishia hata hao unadhani Chadema ndio wataleta maendeleo hakuna lolote maana hata wao kupeana madaraka tu ndani ya chama shida, walijaribu watu kugombania vyeo ndani ya chama kilichowakuta tunajuwa. CCM wewe ikatae lakini wana watu tena watu waliokunywa maji ya chama. Kushinda % ngapi siwezi kusema ila bado hakuna chama cha kuwatoa CCM kinguvu au kisera. Humo ndani ya wapinzani tu mapandikizi ya CCM kibao sote tunajuwa.