Mwananchi anyimwa fursa ya kuuliza swali kwa kuanza swali la kusema waliosaini sio Watanganyika

Acha ujinga hapa Kuna nchi mbili tanganyika na Zanzibar na ndio maana huyo mwanasheria koko kasema Zanzibar kama nchi inasheria zake kwenye bandari zake Sasa iweje waliotoka huko Zanzibar hamtaki watajwe kwamba ni wazanzibar?
We hauna akili kabisa..Rais wa nchi ni nan ?

Punguza ubaguzi na upumbavu hata maendeleo hauna hao ndo viongozi wao watasaini na hakuna kitu utafanya...Sisi ndo tumekubali wewe hauna kitu zaidi ya maneno ya kibaguzi.
 
Kwa Mkataba huu ni kama baba kumwozesha binti yake kwa kupanga mahari kule kirabu cha pombe kisha mtoto anaolewa kwa pesa ndogo.
 
We hauna akili kabisa..Rais wa nchi ni nan ?

Punguza ubaguzi na upumbavu hata maendeleo hauna hao ndo viongozi wao watasaini na hakuna kitu utafanya...Sisi ndo tumekubali wewe hauna kitu zaidi ya maneno ya kibaguzi.
Acha kutoa mapovu mkurugenzi. Hili jambo liko wazi kabisa. Rais anayeitawala Tanganyika kwa sasa ni Mzanzibari! Na Waziri wa ujenzi pia aliyesaini huo mkataba pia ni Mzanzibari. Sasa mbona jambo hili liko wazi kabisa!!

Huo Muungano wenyewe ni kiini macho tu. Maana Wazanzibari siku zote wamekuwa wakijivunia Taifa lao la Zanzibar, na pia Uzanzibari wao! Nongwa iko wapi kwa sisi Watanganyika pia kulipigania Taifa letu ambalo limegeuzwa kuwa shamba la bibi?
 
Kama una uwezo wa kumuondoa uleta mtanganyika muondoe?

Huyo ndo Rais na kuhakikishia hakuna kitu mtafanya ,yaani sawa na kelele za chura .

Unawajua waliopendekeza na kutoa wazo la kupelekewa Ruzuku hospital ya KCMS na Bungando ni wakika nan kama sio wa dini moja.

Angalia kwanza eti mzanzibar anaongoza Tanganyika nyie mko wapi?
 
Sasa ulitaka mtu MWEHU kama huyo asiyejua kuwa hatuna nchi inayoitwa TANGANYIKA aendelee kupewa nafasi ili achangie nini!?.Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964 huko.

Mamburura mko wengi sana hapa Tz.
Akili za ma ccm zinashangaza sana. Yaani Muungano ni wa nchi mbili! Tanganyika na Zanzibar! Halafu baada ya huo muungano, nchi moja ife! Halafu nchi nyingine ibakie!!

Ok. Time will tell. Watanganyika tumeshawashtukia. Na tunakoelekea, tutagawana tu fito. Maana hakuna Mtanganyika aliye na akili timamu kichwani, anaweza kuvumilia huu upuuzi unao endelea nchini.
 
Kama una uwezo wa kumuondoa uleta mtanganyika muondoe?

Huyo ndo Rais na kuhakikishia hakuna kitu mtafanya ,yaani sawa na kelele za chura .

Unawajua waliopendekeza na kutoa wazo la kupelekewa Ruzuku hospital ya KCMS na Bungando ni wakika nan kama sio wa dini moja.

Angalia kwanza eti mzanzibar anaongoza Tanganyika nyie mko wapi?
Ni suala tu la muda.
 
Ni suala tu la muda.
Sasa sikia sina nia mbaya ila hapa kuna mambo yataibuka itakuwa vurugu hiyo meseji ya kuhamasisha wakristo wagomee mkataba hata hao serikali washaiona na madai ni ya kijnga.

Hili sakata la KCMC na BUGANDO litaibuka msije kuita watu magaidi ,maana walitoa wazo na kusaini wote ni wakristo na mkataba hauna makubaliani ni milele serikali inatoa ruzuku katika hospitals hizo.
 
Hivi kuna rais/mawaziri walio laumiwa kusaini mkataba kwa sehemu walio tokea?.

Au Mnyamwezi kulaumu Mchaga kwa kusaini mkataba mbovu.
Tanzania tunakoenda sio kabisa na serikali ikiendelea kuchekea hizi tabia bila kuchukuwa hatua ni hatari. Mbona waziri wa ujenzi ka sign miradi mingi huku ya maendeleo hakuna issue. Huyu ni waziri wa ujenzi na pia Rais wa jamhuri mbona tunakosa heshima hata kidogo. Hawa wanamuita waziri/Rais majina lakini juzi tu mapozi yamewatoka baada ya Shivji kuitwa majina ya kibaguzi( siungi mkono). Na maneno yako kweli itafika siku tutasema kabila fulani hawawezi kusign ni kama federal state. Tubishane, tusikubaliane lakini tusilete lugha za kuja kuleta hatari nchi hii. Mimi nadhani Rais Samia kuna watu ndani wanamhujumu na yote ni 2025 ni wakati wakuwa aggresive kusafisha nyumba yake kwanza kuna shida ndani ya CCM yako makundi tayari wanataka u Rais ni wazi na tutaona mengi sana.
 
Sasa ulitaka mtu MWEHU kama huyo asiyejua kuwa hatuna nchi inayoitwa TANGANYIKA aendelee kupewa nafasi ili achangie nini!?.Tanganyika ilishazikwa mwaka 1964 huko.

Mamburura mko wengi sana hapa Tz.
Tanganyika imekufa huko kiccm. Tanganyika ipo na itaendelea kuwepo.
 
Nimepata hisia kuwa wameongea na ndugu zao wa ng'ambo wanataka kuvunja muungano kwa hiyo njia pekee ni kutufrastrate kwa mikataba mpaka pale peacefully tutakapoamua kuvunja sisi wenyewe. Nafkiri wapo sahihi. Tuuvunje.
 
Sasa sikia sina nia mbaya ila hapa kuna mambo yataibuka itakuwa vurugu hiyo meseji ya kuhamasisha wakristo wagomee mkataba hata hao serikali washaiona na madai ni ya kijnga.

Hili sakata la KCMC na BUGANDO litaibuka msije kuita watu magaidi ,maana walitoa wazo na kusaini wote ni wakristo na mkataba hauna makubaliani ni milele serikali inatoa ruzuku katika hospitals hizo.
Kwahiyo hizi hospitali ni za wageni? Hata hivyo nyie kama wawakilishi wa waislamu mnaweza kuchukua hatua ya kuvunja hiyo MoU ya hizo hospitali, lakini ni hivi, bandari haiuzwi fullstop.
 
Tanzania tunakoenda sio kabisa na serikali ikiendelea kuchekea hizi tabia bila kuchukuwa hatua ni hatari. Mbona waziri wa ujenzi ka sign miradi mingi huku ya maendeleo hakuna issue. Huyu ni waziri wa ujenzi na pia Rais wa jamhuri mbona tunakosa heshima hata kidogo. Hawa wanamuita waziri/Rais majina lakini juzi tu mapozi yamewatoka baada ya Shivji kuitwa majina ya kibaguzi( siungi mkono). Na maneno yako kweli itafika siku tutasema kabila fulani hawawezi kusign ni kama federal state. Tubishane, tusikubaliane lakini tusilete lugha za kuja kuleta hatari nchi hii. Mimi nadhani Rais Samia kuna watu ndani wanamhujumu na yote ni 2025 ni wakati wakuwa aggresive kusafisha nyumba yake kwanza kuna shida ndani ya CCM yako makundi tayari wanataka u Rais ni wazi na tutaona mengi sana.

Ccm haipaswi kuendelea kutawala nchi hii, kwanza haikai madarakani kwa ridhaa ya wananchi, bali inakaa madarakani kwa shuruti. Ni hatari vyombo vya dola kulinda chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, hata baada ya wananchi kuonekana kukichoka.
 
Back
Top Bottom