Mwananchi anyimwa fursa ya kuuliza swali kwa kuanza swali la kusema waliosaini sio Watanganyika

Umesema ina mamlaka yake si ndio?.

Mamlaka gani?.
Unakumbuka mamlaka ya serikali ya Salmin Amour Juma(rais wa 5 wa zanzibar) alijiunga na OIC kwanini Nyerere alitaka wajitoe?
Wana nchi yao inayoitwa ZANZIBAR,wana Bendera yao ya Taifa la Zanzibar,wana wimbo wao wa Taifa la Zanzibar,wana Rais wao wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwawa la kijiji mtambaswala
 
Watazuia lakini wasiotaka wanazidi kuongezeka,ni bora sanawangekubali wakati idadiya wasiotaka haijaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…