Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Nikisikiliza ile clip ya sauti ya Hamza sion dhuruma wala Madini na ushenzi tu aliojiamulia kuufanya
Ile klip inaweza kuongea story nzima ya hasira zake? Unajua alichoambiwa huko alikotoka kisha akaanza kupambana na polisi na kuacha raia kibao?
 
So the man has a lot of frustrations and after careful consideration he choose to kill 3 policemen and leave the civilian alive!

The story is too good to be true
Sure, he was also thoughtful to take their guns to restrict people with bad intentions to use them. What a good story.
 
Hawa mwananchi Ni sawa na udaku,
Wameshindwa kwenda Chunya kubalansi taarifa.
 
Funzo

Kumdhulumu Msomali sio kama kumdhulumu Muhindi!

Zile Accounts za Wahindi zilizofungwa na pesa zote kukombwa na ma bureade change ya Wahindi yaliyoporwa ingekuwa wamefanyiwa Wasomali, pasingetosha
 
Kwanini AWAUE POLISI TU?

Swali mujarab kabisa. Huyu bwana angekuwa katika killing spree angeua raia wengi sana!! Hakufanya hivo. Je analipa au anamlipia mtu kisasi? Kibaya kingine ambacho tungejifunza ni yeye kufanikiwa kuua polisi ambao wamepewa mafunzo ya matumizi ya silaha ikiwa ni pamoja na kujilinda!!
 
Hao waandishi bado wapo?
Tangu Jerry Muro aripoti rushwa za matrafiki akafanyiwa fitina.
 
Na Amani na Utulivu tulionao pia utakwisha Sheikh wangu

Uvumilivu ndio msingi wa amani wa nchi yetu sio haki
Kama ni uvumilivu basi vumilia na dhulma na ubambikaji wa mapolisi ambao hata mh. Samia aliuona .
 
Huyo ni gaidi. Kwanza alikwenda Misri kusoma dini.Wanasema alivyorudi alikuwa mtu mkimya sana. Hapo alikuwa radicalisé .
Kwahiyo kusoma dini ni ugaidi? halafu kwa yeye kufanya mashambulizi kwa polisi tu alikuwa anataka tupate message gani kutoka kwenye huo ugaidi wake?
 
Yote yasemwe ila binafsi naangalia tu alipopolwa dhahabu tu hapo hapo akajua vema matumizi ya:- Cover & Concealment
AK Manoeuvre & handling
Tactical reload
Tactical progression
Tactical mindset
Hayo yote ni mambo ya kitaalamu sana ambayo Hamza aliya apply vema kabisa juzi na si rahisi raia au mpiganaji asie na mafunzo kuyakumbuka na kuyatumia wakati wa mapigano.

Watu huru tunatakiwa KUFIKIRIA nje ya box
 
Tuangalie zaidi
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe sauti ya Hamza unaijua?
 
Hamza ni gaidi Kama magaidi wengine wa bavicha walioko ndani

USSR
Mkuu tumia ubongo hata kidogo,Hamza ni mwana Lumumba mwenzako.
Hata hivyo sio busara kumuhukumu kwa itikadi yake ya siasa au dini. Subiri uchunguzi ukamilike vyombo vya husika vitatoa ripoti.
Uko kama Layoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…