ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawa wametumia module gani? Pili usitegemee watu wenye chuki binafsi za mrengo wa kidini,mfumo dume na uzanzibar wakapigia kura Samia.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Pale Chadema hakuna watu sahihi kaka,yaani tunataka mtu awe kama JPM!2025 kazi wanayo kama ni huyu mama kwa heri mwalimu!
Unajua CHADEMA wanachokifanya saizi kwenye maansamano ni noma!
Lakini ndo mda wa CCM kudondoka no way out!
Mimi nimeshawaambia bila kumpa Makonda 2025 hawachomoki hawa CCM maana wanachokihitaji wananchi ni mtu anayejali shida zao na kusimamia uwajibikaji!Hahahaha wewe acha tu. Unajua Dkt Samia wanaendelea kumlaghai na ile timu yake. 2010 Dkt Kikwete alishinda kwa mbinde ina maana kama siyo Dkt Magufuli 2015 chama mfu aka mifupa aka NGO ya gaidi mbowe ingeweza kushinda ila isingepewa nchi kwa sababu kuna jambazi la kuteka magari lema ndani yake
Wewe tulia anzisheni hata hapa jamii forum bado mtaangukia put!Hawa wametumia module gani? Pili usitegemee watu wenye chuki binafsi za mrengo wa kidini,mfumo dume na uzanzibar wakapigia kura Samia.
Una akili kweli wewe? Awe kama JPM Ili walionacho wawe maskini na wale wachache walioko kwenye Utawala Waendelee kuneemeka? Mfano Makonda amekuwa bilionea awamu ya 5 na wengine wote waliokuwa wanatumikia Utawala.Pale Chadema hakuna watu sahihi kaka,yaani tunataka mtu awe kama JPM!
Tuanzishe nini? Mbona wewe Huwa unaanzisha na Bado hiyo Pua hatujawahi angukia?Wewe tulia anzisheni hata hapa jamii forum bado mtaangukia put!
Sana, wananchi wana maumivu. Unajua tofauti na miaka ya nyuma ila wapiga kura wa sasa wanalinganisha sana na wanajua haki zaoMimi nimeshawaambia bila kumpa Makonda 2025 hawachomoki hawa CCM maana wanachokihitaji wananchi ni mtu anayejali shida zao na kusimamia uwajibikaji!
Mimi sijui!Hahahaha maana yake chama kitakachosimama na Dkt Magufuli kitapata ushindi wa 57%
Ukiniuliza Mimi Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli na nimekuwa naelezea humu jukwaani bila kujalisha Sukuma gang wanasemaje.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?Una akili kweli wewe? Awe kama JPM Ili walionacho wawe maskini na wale wachache walioko kwenye Utawala Waendelee kuneemeka? Mfano Makonda amekuwa bilionea awamu ya 5 na wengine wote waliokuwa wanatumikia Utawala.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye pesa anaweza tamani Utawala ule labda maskini waliokata tamaa ambao kwao wenye pesa wakiporwa pesa na kuwa maskini ndio furaha Yao,wanasema tulingane.
Mtu wa Chadema awe kama JPM??Pale Chadema hakuna watu sahihi kaka,yaani tunataka mtu awe kama JPM!
Huijui CCM vizuriMimi nimeshawaambia bila kumpa Makonda 2025 hawachomoki hawa CCM maana wanachokihitaji wananchi ni mtu anayejali shida zao na kusimamia uwajibikaji!
"Mwananchi" ukweli na uhakika!Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Mifano ya walioporwa wako wengi sana na Mimi nawajua Baadhi Yao.Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
Hajaolewa?Sio kwamba hujaolewa maelezo ya gazeti au?
Samia hana chochote cha kumzidi Magufuli. Ukiweka uchawa pembeni na ukatumia common sense Samia ni hakuna kitu.Ukiniuliza Mimi Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli na nimekuwa naelezea humu jukwaani bila kujalisha Sukuma gang wanasemaje.
Asilimia za wote watatu zikijumlishwa hazifiki za mtu mmoja.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Wewe una chuki tu na watu wa Kanda ya ziwa hasa Wasukuma lakini kusema una sababu ya msingi ni uongo uongo wako!Ukiniuliza Mimi Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli na nimekuwa naelezea humu jukwaani bila kujalisha Sukuma gang wanasemaje.