Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Kwani mzee sarungi alikuwa waziri kipindi gani vile?
 
Kura za watu 1,025!

Huu ni uduwanzi
Tena wanaojua kingereza kibongobongo ni watu wenye ufahamu fulani!
Njoo sasa mtaani huku ulete huo utafiti kama Samia hapati asilimia 2! Endelea kuita uduanzi unadhani hata wangekuwa milioni moja asilimia za Mama zingepanda na kumzidi Magufuli? Punguza ujinga unao sukumwa na chuki!
 
ndio
 
Sasa we gazeti unaombaje radhi au lwa kuwa sa100kaambulia 17 swali nawauliza je samia angepata kura nyingi je mngeomba radhi? Au
 
Mkapa alietuweka kwenye mgao wa umeme unawaka saa sita usiku hadi kumi na moja asubuhi? Mkapa alieuza nyumba za Oyster Bay? Mkapa aliye binafsisha mashirika bila faida kwa umma. CCM haijawahi kuwa na viongozi wazuri.
 
Mzilankende Bado Yupo Oops Yule Baba Jamani
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
'Statistics' kama ilivyo kwa taaluma ya uchumi, huwezi kukosa sababu ya kisingizio kwa nini namba hazionyeshi kama ulivyotegemea wewe. Hapa unahoji 'demographics'; lakini isingewezekana Mwananchi wachambue watu maalum wa kuwauliza maswali ili wapate majibu sahihi. Labda unachoweza kusema sasa hivi, ni kuchambua hizo data walizopata, kama kulikuwepo na kipengere cha umri, sasa waangalie hao 'responders' wa umri gani wanalalia kwa kiongozi yupi.
Lakini hilo haliwezi kufanya matokeo ya utafiti yasiwe halali.
 
Sikiliza wenye akili zao wanavomuongelea MAGUFULI
 

Attachments

  • professor_patrick_lumumba_described_late_john_pombe_magufuli_tanzanian_president_in_video._h26...mp4
    5.1 MB
Jiwe nae alikuwa fisadi tu sema alithibiti Bunge, Mahakama na Vyombo vya habari pamoja na whistleblowers.
 
Ila ex seminarian wa Katoke asingekuwa na vya kuua ua kisa demokrasia na kupenda kuongoza nchi kama familia ni alikuwa na uthubutu wa kutupeleka sehem!
Basi tu ujasiri bila maarifa huzaa msiba!
Umeaminishwa ivyo na mafisadi ukaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…