Hivi machizi waliokuwepo milembe na wenye akili zao mtaani wapi ni wengi?Siku zote wenye akili Huwa ni wachache.Hata Nyerere alivyouliza mnataka Vyama vingi au Kimoja wengi walisema Kimoja ila Kwa kuwa siku zote wajinga ni wengi aka opt uamzi wa wachache.
Wenye akili hawajawahi kuwa wengi ndio maana Wanasiasa maigizo dizaini ya hao wanawachezea akili saizi amekuja Makonda na ana wafuasi wale wale wa kundi la Magufuli.
Hawa wametumia module gani? Pili usitegemee watu wenye chuki binafsi za mrengo wa kidini,mfumo dume na uzanzibar wakapigia kura Samia.
Tulia wewe.Kwani wajinga kuwa wengi kunazuia polling? Wewe hapo niambie Magufuli amemzidi Samia lipi hasa na Mimi nikueleze Samia aliyomzidi Magufuli,hata ukitaka leta sekta Moja baada ya nyingine tulinganishe.
Narudia kukuuliza tena,wewe unadhani aliyekuza Mapato kutoka 1.5T Hadi 2.2T Kwa miaka 3 nani amefanya kazi kubwa?
Tatizo ameshakufaNdo maana wanatangatanga kwa sasa ,imepita hio Magufuli jembe hata wakijitahidi vipi kumzima,,,,,marehemu vs walio hai
Leta kile unachoona Magufuli kamzidi Samia, unadhani wote tunatumia moyo.kufanya judgement? Natumia takwimuTulia wewe.
Acha kulazimisha ukweli kuwa uongo.
Cha kwannza,Magufuli amemzidi Samia kwenye hiyo polling,maana yake ni kwamba "nobody give a fvck to droopy eyes"nKwani wajinga kuwa wengi kunazuia polling? Wewe hapo niambie Magufuli amemzidi Samia lipi hasa na Mimi nikueleze Samia aliyomzidi Magufuli,hata ukitaka leta sekta Moja baada ya nyingine tulinganishe.
Narudia kukuuliza tena,wewe unadhani aliyekuza Mapato kutoka 1.5T Hadi 2.2T Kwa miaka 3 nani amefanya kazi kubwa?
Sikiliza wewe kenge maji hoja ilikuwa polling na matokeo ya polling basi.Kwani wajinga kuwa wengi kunazuia polling? Wewe hapo niambie Magufuli amemzidi Samia lipi hasa na Mimi nikueleze Samia aliyomzidi Magufuli,hata ukitaka leta sekta Moja baada ya nyingine tulinganishe.
Narudia kukuuliza tena,wewe unadhani aliyekuza Mapato kutoka 1.5T Hadi 2.2T Kwa miaka 3 nani amefanya kazi kubwa?
You nailed it bro! Ni kwamba,hakuna anayetaka siasa za vidole juu,we want work! Nothing else.Sikiliza wewe kenge maji hoja ilikuwa polling na matokeo ya polling basi.
Hao walioamua kuomba msamaha ni zuga tu mbona hawajatoa matokeo mengine ya polling.
Kwa hiyo tambua hayo matokeo ya polling ndivyo hivyo jamii inamchukulia huyo mama yenu
Alivyovifanya magufuli havihitaji kutajwaLeta kile unachoona Magufuli kamzidi Samia, unadhani wote tunatumia moyo.kufanya judgement? Natumia takwimu
Huyo jamaa unahangaika nae tu maana yeye anaamini ndo anaweza kuwa na mawazo sahihi kuliko watu wote juu ya Magufuli!Cha kwannza,Magufuli amemzidi Samia kwenye hiyo polling,maana yake ni kwamba "nobody give a fvck to droopy eyes"n
Pili,nimekuuliza, kabla Magufuli hajaingia madarakani mapato yalikuwa kiasi Gani,na baada ya kuingia mapato yalikuwa Kiasi Gani? Unaleta taarabu hapa.
Tangu lini werevu wakawa wengi kuzidi wajinga? Na wajinga wakiamua lao si unajua matokea? Don't play with wajinga ,they don't use brain ππCha kwannza,Magufuli amemzidi Samia kwenye hiyo polling,maana yake ni kwamba "nobody give a fvck to droopy eyes"n
Pili,nimekuuliza, kabla Magufuli hajaingia madarakani mapato yalikuwa kiasi Gani,na baada ya kuingia mapato yalikuwa Kiasi Gani? Unaleta taarabu hapa.
Unaongea kabisa kwamba alivifanya Magufuli wakati unajua kabisa hakuna alichokikamilisha hata Kimoja.Alivyovifanya magufuli havihitaji kutajwa
hata kipofu anaona
Sikia wewe fala,nimekujibu Toka Mwanzo kwamba ni lini werevu wamewahi kuwa wengi kuzidi wajinga?Sikiliza wewe kenge maji hoja ilikuwa polling na matokeo ya polling basi.
Hao walioamua kuomba msamaha ni zuga tu mbona hawajatoa matokeo mengine ya polling.
Kwa hiyo tambua hayo matokeo ya polling ndivyo hivyo jamii inamchukulia huyo mama yenu
Kwa hiyo wewe ndo mfano wa werevu?Sikia wewe fala,nimekujibu Toka Mwanzo kwamba ni lini werevu wamewahi kuwa wengi kuzidi wajinga?
FALA kwa kichina ni mheshimiwa.Sikia wewe fala,nimekujibu Toka Mwanzo kwamba ni lini werevu wamewahi kuwa wengi kuzidi wajinga?
Nilitaka ujilete hivyo mbwa ww! Swali,Tangu lini werevu wakawa wengi kuzidi wajinga? Na wajinga wakiamua lao si unajua matokea? Don't play with wajinga ,they don't use brain ππ
Nakujibu Kwa kutumia takwimu ndogo tuu,wakati Magufuli anaingia madarakani wastani wa Makusanyo TRA ilikuwa Bilioni 800 Kwa mwezi,Hadi anakufa 2021 wastani ulikuwa 1.5T..sawa na Bilioni 700 Kwa miaka 5.
Samia kutoka 1.5T Hadi 2.2T/M sawa na Bilioni 700 miaka 3.
Bajeti hii inayoendelea Sasa hivi TRA inatarajia kufikisha 2.5T Kwa mwezi na hapo hakuna mradi mkubwa hata mmja wa Magufuli umeanza Kuzalisha ,ni sera za kurudisha Imani Kwa wafanyabiashara zimelwta hela.
Huo ni ushahidi wa kwanza,nikutajie mengine? Tumia brain sio moyo kufanya judgement takwimu zinaongea ila mapenzi ni tofauti na takwimu.Kama unataka mapenzi peleka Kwa.Magu ila kama unataka takwimu Samia is here to stay
Taja kitu alichoanzisha Samia Kwa miaka yote 3 Toka aingie madarakaniUnaongea kabisa kwamba alivifanya Magufuli wakati unajua kabisa hakuna alichokikamilisha hata Kimoja.
Fine kwani alivyovifanya Samia havionekani?