Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Wameomba msamaha lakn tayar wame print out matokeo

nawaz wimbi la kisias litavyokuw kuanzia mwakn 2025 may na kuendelea
 
Marehemu anaendelea kuwapumlia visogoni, yule bibi chaudele uchaguzi ujao hata akishindana na tofali uchaguzi ukawa huru na haki hatoboi
 
Hii Mwananchi yamejipambanuwa kuwa magazeti ya hovyo kabisa Tanzania.
Chawa wa awamu ya sita kazi mnayo kumtetea mama yenu ila ukweli ndio huo, raia hawamkubali huyo mama na 2025 aendeleeni kuiba kura kama kawaida yenu.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Nacheka utadhani ni mazuri. Mwalimu katunga mtiani vibaya ila wanafunzi wametoa majibu sahihi.
 
Hata wasemaje, raia tunayopitia twajuwa Magu kuwashinda wote hawa!
Masafari, kujisifu na kumsifia Mwamvua kucha!
Hawana mapenzi na raia wala nchi, wako pale kutafuna tu hela ya mlalahoi...
 
Wakati gazeti la mwananchi limeweka hiyo poll mimi sikuwa na bando hivyo sikupiga kura, naomba irudiwe ili nimpe kura JPM.
 
Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
Mkuu usijibishane na machizi. Utajichosha bure
 
Tangu lini werevu wakawa wengi kuzidi wajinga? Na wajinga wakiamua lao si unajua matokea? Don't play with wajinga ,they don't use brain [emoji16][emoji16]

Nakujibu Kwa kutumia takwimu ndogo tuu,wakati Magufuli anaingia madarakani wastani wa Makusanyo TRA ilikuwa Bilioni 800 Kwa mwezi,Hadi anakufa 2021 wastani ulikuwa 1.5T..sawa na Bilioni 700 Kwa miaka 5.

Samia kutoka 1.5T Hadi 2.2T/M sawa na Bilioni 700 miaka 3.

Bajeti hii inayoendelea Sasa hivi TRA inatarajia kufikisha 2.5T Kwa mwezi na hapo hakuna mradi mkubwa hata mmja wa Magufuli umeanza Kuzalisha ,ni sera za kurudisha Imani Kwa wafanyabiashara zimelwta hela.

Huo ni ushahidi wa kwanza,nikutajie mengine? Tumia brain sio moyo kufanya judgement takwimu zinaongea ila mapenzi ni tofauti na takwimu.Kama unataka mapenzi peleka Kwa.Magu ila kama unataka takwimu Samia is here to stay
Je, Samia havuni mapato pale bandarini ambayo iliboreshwa kwa kiasi kikubwa na JPM?
Je, Samia hajaleta matozo holela kuongeza mapato?

Je, Samia hategemei EFD machine ambazo aliziasisi JPM kukusanya mapato?
Mashine hizi ni mhimili mkubwa kwa ukusanyaji mapato. JPM aliwakomalia wafanya biashara wazitumie! Samia asingewaweza maana wafanyabiashara hawakuzipenda kabisa hizi machine! Sasa wamezizoea na zinatumika ipasavyo na mapato yameongezeka

Je, Samia hategemei tozo za Umeme kukusanya mapato, Umeme ambao JPM aliusambaza kwa wingi vijijini?
Wanakijiji wanaendelea kuvutia Umeme kwenye majengo yao kila uchao
Samia amekutana na mseleleko wa kutoza tozo za luku tu



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ila mwananchi Bwana wajanja sana,Kama walikua hawataki matokeo yajulikane why wamerelease?Binafsi nimelelewa na nia yao imefanikiwa.Ashukuru amepata hizo maana zinepungua kufika5
 
Chawa wa awamu ya sita kazi mnayo kumtetea mama yenu ila ukweli ndio huo, raia hawamkubali huyo mama na 2025 aendeleeni kuiba kura kama kawaida yenu.
Unaniambia mimi mkuu 'Mbaga, Jr'. Ni kipi hasa ulichoona nimeandika kilichokufanya univunjie heshima ya kunihusisha na mambo nisiyo husika nayo?
Au wewe ni mmoja wa vihio wengi tulionao humu, wanaojuwa kusoma lakini hawaelewi wanachokisoma!

Umenishangaza sana kuandika hayo uliyoandika kunijibu mimi na kunihusisha bila hata kuona ushahidi wowote kuwa nami ni hao unaowasema wewe.
Nadhani una matatizo ya uelewa wa ulichosoma. Umebwatuka tu, kujibu kama mtu aliyekuwa usingizini akiota jambo lisilokuwepo.

Usinihusishe na ujinga huo tena.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Je ni review kwa vile matokeo mliyotaka hamkuyapata. Not good
 
Nimesema ameuza bila faida kwa umma.
Umewahi kufuatilia kodi na magawio ambayo TCC, TBL, CRDB na NMB wanalipa kwa mwaka kwenda TRA na Hazina?

Yote haya kabla ya Mkapa yalikuwa yanaendeshwa kwa kupewa ruzuku na Serikali
 
My opinion ,
  • Tariff ambazo January Makamba aliziongeza kwenye uunganishaji umeme zirudishwe kama awali.
  • Halmashauri za Miji zirudishe vitambulisho vya machinga lakini wawe stricted kwenye maeneo yao, na umachinga wao uwe na mipaka, mfano, wanauza only used items.
  • importer wa bidhaa mbali mbali wawe wanafuatiliwa kwa ukaribu ili kuhakikisha bidhaa hizo, aidha zinauzwa in wholesale only, aidha muhusika anakuwa na duka kwa ajili ya bidhaa zake, na si kuzimwaga directly kwenye meza za kariakoo!

 
Back
Top Bottom