Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa awamu ya sita kazi mnayo kumtetea mama yenu ila ukweli ndio huo, raia hawamkubali huyo mama na 2025 aendeleeni kuiba kura kama kawaida yenu.Hii Mwananchi yamejipambanuwa kuwa magazeti ya hovyo kabisa Tanzania.
Hakuna wa kujivuna. Mwalimu katunga mtiani vibaya. Majibu yametoka sahihi.Timu jiwe-mataga watajivuna na kurusha maneno sana kwa kina ChoiceVariable Stuxnet chiembe na FaizaFoxy
Nacheka utadhani ni mazuri. Mwalimu katunga mtiani vibaya ila wanafunzi wametoa majibu sahihi.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Nimecheka kwa sauti 😂😂😂Ni Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono 🤒🤒🤒🤒.
Tuambie msemaji mkuu. Kwahiyo samia ni rais wa watu gani?Mwendazake alikuwa Rais wa watu mafukara na wengine waliokata tamaa ya maisha.
Mkuu usijibishane na machizi. Utajichosha bureNani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
Je, Samia havuni mapato pale bandarini ambayo iliboreshwa kwa kiasi kikubwa na JPM?Tangu lini werevu wakawa wengi kuzidi wajinga? Na wajinga wakiamua lao si unajua matokea? Don't play with wajinga ,they don't use brain [emoji16][emoji16]
Nakujibu Kwa kutumia takwimu ndogo tuu,wakati Magufuli anaingia madarakani wastani wa Makusanyo TRA ilikuwa Bilioni 800 Kwa mwezi,Hadi anakufa 2021 wastani ulikuwa 1.5T..sawa na Bilioni 700 Kwa miaka 5.
Samia kutoka 1.5T Hadi 2.2T/M sawa na Bilioni 700 miaka 3.
Bajeti hii inayoendelea Sasa hivi TRA inatarajia kufikisha 2.5T Kwa mwezi na hapo hakuna mradi mkubwa hata mmja wa Magufuli umeanza Kuzalisha ,ni sera za kurudisha Imani Kwa wafanyabiashara zimelwta hela.
Huo ni ushahidi wa kwanza,nikutajie mengine? Tumia brain sio moyo kufanya judgement takwimu zinaongea ila mapenzi ni tofauti na takwimu.Kama unataka mapenzi peleka Kwa.Magu ila kama unataka takwimu Samia is here to stay
🤣🤣🤣🤣Ni Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono 🤒🤒🤒🤒.
Unaniambia mimi mkuu 'Mbaga, Jr'. Ni kipi hasa ulichoona nimeandika kilichokufanya univunjie heshima ya kunihusisha na mambo nisiyo husika nayo?Chawa wa awamu ya sita kazi mnayo kumtetea mama yenu ila ukweli ndio huo, raia hawamkubali huyo mama na 2025 aendeleeni kuiba kura kama kawaida yenu.
Je ni review kwa vile matokeo mliyotaka hamkuyapata. Not goodGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
YesThe choice is yours truely.
Tulia ukweli usemweHaahaha uzuri waliuza swali kwa lugha ya kiingereza! Naamini waliopig kura ni watu wenye uwezo wa kufikiri vizuri na kutambua mambo kwa undani! Tulieni Machwa hii ni wenu!
UwiiiiiHii ni kama gazeti la majira 1995 lilipotangaza matokeo ya uchaguzi zanzibar kuwa shariffu Hamadi alishinda likafungiwa lakini ukweli haufutiki!
Umewahi kufuatilia kodi na magawio ambayo TCC, TBL, CRDB na NMB wanalipa kwa mwaka kwenda TRA na Hazina?Nimesema ameuza bila faida kwa umma.