Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Exactly πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
hayupo huru mbele yako, unapoongea nae hofu inamtawala zaidi, hii inaathiri hata majibu anayokupa.

Huyo mtoto wako hana tofauti na uhusiano wangu na kaka yangu, kanizi mkaka 7, alikuwa ananionea sana udogoni makonzi, vibao, vitisho, n.k. sikuweza kuwa huru nae kabisa lakini alipokuja kaka mwengine kimasomo ambae ni ndugu wa kijijini nilikuwa huru sana kwake kwenye maongezi hadi kaka yangu wa damu anashangaa mbona naongea vizuri nikiwa na kaka mwengine. nina 36 kaka yangu hadi leo inaweza kupita miezi hatujawasiliana.

Mbaya zaidi hata ukiacha ukoloni umeshamuharibu kisaikolojia, ni ngumu kumfanya awe huru mbele yako
 
Kumbe!! Kwa sentensi hii inaonyesha wazi akili karithi kwako au wewe hujamlea vizuri.

Umeshindwa kuelewa hoja yangu na kuichanganua
Chuma hainasi kwenye mbao . maana anasema amemchukua akiwa darasa la tatu. Means yeye ndiye amemshape dogo hivyo alivyo.
Kuna namna akili hazifanani na tunatofautiana namna ya kuhandle possibly ukali wa muda wote umesababisha hofu na mpaka mtoto amepoteza confidence katika kufikiri na kutenda.
 
mkuu hii shuhuda yako ni muhimu sana natumaini na wengine wamejifunza pia
 
Mtoto umebambikiwa huyo sio wako aumama yake kwao ni vilaza
Kama mzazi mtarajiwa naomba usizumngumze hivi, haya maneno yawe tu yamekutoka pasina kukusudia. Hakuna anayependa hii hali ila tukubaliana nayo kwakuwa yametokea na hamna namna.
 
Kama mzazi mtarajiwa naomba usizumngumze hivi, haya maneno yawe tu yamekutoka pasina kukusudia. Hakuna anayependa hii hali ila tukubaliana nayo kwakuwa yametokea na hamna namna.
Mimi ni mzazi😐watoto hurithi tabia na akili za wazaxo wao,eanawake wanwxaa njr yandoa sana tu sasa hapo cha ajabu kitu gani
 
Asante kiongozi,
 
Kwa maelezo yako hapo juu. Mimi naona mtoto ndio genius wewe baba ndio kilaza maana umeshindwa kutambua kaliba ya mwanao.
Tatizo unataka kumpima uwezo wake kwenye vitu vya kawaida, uwezo wa darasani, uwezo wa kujenga hoja na takataka nyingine.
Kuna muda utafika atakuja kufanya mambo makubwa mpaka utajiona wewe ndio kilaza wazazi tunaharibu sana watoto hasa kwenye upande wa elimu kwa kulazimisha kuwa ni lazima mtoto afate mienendo yako

Kuipata hiyo div3 sio kwamba ni ufaulu mzuri lakini inatosha kukuonesha kuwa huyo sio kilaza unavyomfikiria ila umeshindwa tu kumsoma yeye ni mtu wa aina gani.
 
1.wasilisha kadi la mwanao hapa (ali score ngap alipozaliwa)
2.Malez yake mlikuw mnapga sana (alililelewa na step mother, au bibi)
3.ulimlea kisasa sana
4.lishe ni jambo la mwisho
πŸ“‰πŸ“‰πŸ“‰
na kwann hadi amefk miak 17 huku weza jua tatzo la mwanao na ukaanz mjenga mapema
mtoto wa mwaka 1Β½ anaanz kuonyesh common sens katk kujinza ndan ya mazingr yake hadi kufka miak 7/10 unakuw unajua uwezo wa mwanao ndan ya mazingr ya maish na darasan yupoje.
πŸ’₯πŸ†”πŸš­ Au yawezekan mwanao ana mawazo mda wote
Au ana overthinking
muhusishe na michezo.sana na shughuli za kijamii
 
Duh; hizi nondo mzazi anaweza kuingia mitini akautelekeza na uzi kabisa!
 
hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Hili ndo tatizo mkuu, moja kaja kwako na miaka mitatu huyu kaja na akili timamu itakuwa kuna vitu alilishwa yamini na mamake, hapo anakuona boya tu
 
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye Bali mwana moi mbavu ni mzigo kwa mamaye MITHALI 10:1

Huyo karithi ujombani kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…