Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Hata mimi simuungi mkono tena toka alipomleta Bashite
 
Hatupaswi kuhalalisha uhalifu na uovu hata akifanya rais au askofu.

Kutoka ndani ya moyo nawapenda sana wasukuma but these days mnanivunja moyo sana kutetea waovu
Hatutetei waovu,ila tunaangalia haki na watu wachapakazi .
 
Hujui kuwa vyama vyote vya upinzani ni CCM B kasoro kimoja tu. Au umeamua kujizima data kama Bashite
 
Hatupaswi kuhalalisha uhalifu na uovu hata akifanya rais au askofu.

Kutoka ndani ya moyo nawapenda sana wasukuma but these days mnanivunja moyo sana kutetea waovu
Unafiki tu baade unawaita wajinga na wasiojitambua!
Wasukuma hatuhitaji kupendwa wala kubebwa!
Waache wasukuma wamuunge mkono Makonda!
Makonda ni kijana wetu kila mtu apambane na hali yake!
 
Mkuu hivi kwanini alizuiliwa kwenda Marekani? Alifanya nini?
 
Unafiki tu baade unawaita wajinga na wasiojitambua!
Wasukuma hatuhitaji kupendwa wala kubebwa!
Waache wasukuma wamuunge mkono Makonda!
Makonda ni kijana wetu kila mtu apambane na hali yake!
Bahati mbaya sana ccm inawatumia kama dekio, wakomaliza kudeki mnafichwa stoo.

Magufuli alitumiwa kunusuru ccm 2015, baada ya hapo unajua kilichotokea.

Subiria hatima ya Makonda utafurahiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ccm ni jina mahaba linakutaka likiwa na nnyegge tu
 
VUTA-NKUVUTE wewe ni mchawi, kigagula, mpotoshaji. Dkt Samia ndiye mwenye maamuzi!
 
Kuna mtu alikuwa fisadi na muovu kama Jiwe? Au mkuu wewe hukuwa Nchini? Acha kutukumbusha machungu aisee
 
Makonda akiwa katibu mkuu twafaaa

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Atawafaa sana. Labda kama upo nje ya ccm.

Maana ye hana kinyongo na mwanaccm msafi labda uwe mwizi, mzembe, mla rushwa.

Otherwise wana ccm wanamuelewa sana tu na alipokuwa RC alijenga ofisi nyingi sana za CCM, hata Chongolo alipata kukiri hili.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Unafiki tu baade unawaita wajinga na wasiojitambua!
Wasukuma hatuhitaji kupendwa wala kubebwa!
Waache wasukuma wamuunge mkono Makonda!
Makonda ni kijana wetu kila mtu apambane na hali yake!
Kama kweli unamaanisha basi utakuwa mtu wa style yake. Ila siyo Wasukuma wote wako kama Bashite
 
Kuwa ccm ni matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…