TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Ni hulka ya binadamu kupenda au kuchukia, Mungu wa mbinguni aliyetuumba kuna binadamu wanamchukia vipi kwa mavumbi Magufuli, muhimu anatimiza wajibu wake Kama Rais tunaompenda tupo tena ni wengi zaidi ya hao wachache wanamchukia.
 
Kwakuwa aliyefariki ni Mtanzania ndani ya Tanzania tena kiongozi mstaafu hakupaswa Ku tweet tena hasa kipindi hiki ..
Alitakiwa atoe pole rasmi ya ikulu ama aende physically
 
Mwenyewe nilizipitia hizo comments nikajiuliza Magu sijui kitu gani kinamfanya afikiri anapendwa, raia wamemsiliba haswa!
Hi!! Bageshi! Ukiwa unatekeleza mambo yako huku ukiwa na hofu ya utachukiwa (kutopendwa)utakuwa huwezi kufikia lengo Bageshi!

Na duniani, mtu atakaye pendwa na kila mtu huyo ni wakuogopa kama ukoma na atakuwa mpumbavu wa kiwango cha dege la Jana!!
 
Na hao wanao andika ni washabiki wa chadema, baada ya kupigwa za uso kwenye kampeni hivyo wamenuna.

Kwa akili yako kila anayeipinga ccm na kumkosoa magufuli kwa sababu ya madhaifu yake, basi ni Chadema!! Kazi unayo.
 
Kwani ujui shughuli za siasa zilizuiwa,pia Lisu amewaongezea watz ujasiri wa kusema.
Ila tujiandae kulimia kucha Safari Kama makosa ya 2015 yatajirudia.Hivo visasi sio vya nchi hii Kama watumishi tu wanakomolewa kimakusudi eti walimpigia kura Lowasa 5 yrs back still wanashughulikiwa Hadi sasa,vipi nyie watz mnaojaa Hadi kwenye mikutano ya Lisu,jiandaeni na magunia ya visasi.
Tukirudia Tena kosa tumekwiishaa
 
Mwenyewe nilizipitia hizo comments nikajiuliza Magu sijui kitu gani kinamfanya afikiri anapendwa, raia wamemsiliba haswa!
Wale jamaa wanamfeed taarifa apendazo ili washibe kusema ukweli Ni kuhatarisha usalama wa matumbo yao
 
Zamu yake kuisoma namba baada ya kutusomesha.
Ila tukirudia Tena kosa tutasomeshwa Hadi tuchakae
 
Ni hulka ya binadamu kupenda au kuchukia, Mungu wa mbinguni aliyetuumba kuna binadamu wanamchukia vipi kwa mavumbi Magufuli, muhimu anatimiza wajibu wake Kama Rais tunaompenda tupo tena ni wengi zaidi ya hao wachache wanamchukia.
Upo kundi gani la kunufaika au la wanyonge a futureless people wale mtaji wa wanasiasa thamani yao Ni wakati wa uchaguzi tu.
 
Ni hulka ya binadamu kupenda au kuchukia, Mungu wa mbinguni aliyetuumba kuna binadamu wanamchukia vipi kwa mavumbi Magufuli, muhimu anatimiza wajibu wake Kama Rais tunaompenda tupo tena ni wengi zaidi ya hao wachache wanamchukia.
Acha kujidanganya kwa mgongo wa chupa ya gongo wewe apendwe na Nani huyo? labda wewe na wenzio fisi wa Gamboshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…