Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Ujinga mtupu... Yeye Mwabukusi ,huo Uwakili anaendelea nao mpaka majukwaan, kwamba hatakiwi kuongea na vyombo vya Habari kwakua tu wakili?.


Akilibua Joho lake, so ni Mtanzania wa kawaida kabisaaaaa ambaye anatakiwa kutumia Utanzania wake


Suala liko wazi, lina sura ya Sheria na Siasa !!.

FELESHI AMEONYESHA NI MJINGA WAKUPINDUKIA !!
 
Awajibishwe kwanza rais kwa kukiuka katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuzitenga bandari za Zanzibar katika mkataba wa DPw
 
Akishamfutia Lesseni Bandari Yetu itarudi??
 
Kwa sheria hizi mbovu za Tanzania, hata huwezi kujivunia usomi wa sheria. Maana sehemu kubwa utakuta unalazimishwa kuishi kikondoo badala ya kitaaluma.
yule mwamba Sio mwoga. tunatamani tuwe na vijana wasio waoga na weledi kama yeye, kadhaa, kisha nchi itaamka. tumelala mno!


Yesu ni Masihi
 
Dawa ni kumleftisha huyo leshi mmoja ki Jadi kabla hajafanya hayo maujinga yake ili iwe funzo kwa viazi wengine wajibu hoja hakuna namna
Wakiwa wajanja kwa namna yao na sisi wanyonge kwa namna yetu
tusiwe wanyonge moja kwa moja
 
Singapore kuna Mama wamemnyonga mpaka kufa kwa sababu ya kukutwa na gram 30 za pure heroines mwaka 2018 ambazo alikua anazitumia mwenyewe, ngoja niishie hapo
Hilo ni kosa la jinai dunia nzima. Je Mwabukusi?
 
Hilo ni kosa la jinai dunia nzima. Je Mwabukusi?
Mimi namzungumzia Felesi AG wa Tanzania kutetea mkataba wa ovyo na KUKANDAMIZA wanasheria wanaosema mkataba wa ovyo, mtu km huyu angekua Nchi zenye kujua sheria vizuri angekua kashavuliwa u AG na angekua ameshtakiwa kwa kutaka kuliibia Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…