Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Nina hakika kamati ya maadili TLS haiwezi kumvua uwakili Boniface Mwabukusi. Zaidi wakiona kama ana kosa wataishia kumuonya tu.
Alafu Pia Feleshi aache double standard. Mbona anamuogopa Lissu
Jamaa kwenye fomu ya malalamiko anajiita Mheshimiwa😃😃. Mheshimiwa hutumiwa na watu wengine kukuaddress na sio wewe mwenyewe kujiaddress
 
Huo ni ujinga uliojazwa nao, nawe kwa kuwa ni kondoo unakubali kila unachoambiwa na mchungaji wako, hata likiwa bwabwa.

Sikushangai.
Ndo maana nikasema kule safari ya wewe kupuuzwa inaendelea kusogea.

Utashangaa
 
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.

Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:

1. Mwabukuzi ni mchochezi.

2. Mwabukusi kavunja maadili ya uwakili kwa kuongea na vyombo vya habari baada ya ya kesi na kutoa matamshi ya kutaka Spika, Mbarawa na Waziri mkuu waachie ngazi.

3. Kwamba Mwabukuzi kaivunjia heshima mahakama.

Namkumbusha Mwanasheria mkuu kuwa asitafute diversion, kashindwa kuitetea serikali kwenye suala hili la mkataba sasa asianze witchhunt ili kuwatoa wananchi katika reli.

Pia Mwabukusi naye kama Mtanzania analindwa na katiba kwenye haki ya kutoa maoni. Kama hizo kanuni zenu za uwakili vinavunja haki hii ya Wakili kutoa maoni yasiyovunja sheria basi hivyo vitu na NULL and VOID ABNITIO.

Kitu kingine, Kamati ya mawakili siyo mahakama. Kama Mwabukusi kavunja sheria, Mpeleke mahakamani. Katiba inasema Mahakama ndiyo chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki nchini.

Kwa hiyo ndugu Feleshi, unajidhihirisha tu kuwa Umeshindwa kuitetea serikali kwenye mkataba mbovu, sasa unafanya Witchhunt. Yote hii ili mnyamazishe wananchi ili mfanikiwe azma yenu ya Kugawa Bandari zetu na kuuza nchi!

Wananchi hatutokubali!

Barua yenyewe ya mwanasheria mkuu wa serikali hii hapa.

View attachment 2704399

Vita ni Vita Mura, Nakutema Mura
 
Ndio dawa yenu,Kwa hiyo mtabakia kwenye siasa 😂😂
 
Nina hakika kamati ya maadili TLS haiwezi kumvua uwakili Boniface Mwabukusi.

Kwa hiyo chama cha mawakili kimemtandika barua ya vitisho mwanachama wao based on shutuma za third party.

Mawakili wanahitaji chombo chao cha kuwatetea wao! Kuna jambo haliko sawa.

Marekani kuna chama cha wacheza mpira wa miguu, kinaitwa NFL Players Association. Ukiwa na shutuma za kuvunja maadili ya mpira nakala ya shutuma inapelekwa kwa chama cha wachezaji halafu wanakuita mkae mjipange kupambana na shutuma. Sio kukutandika barua la kukuonya usipojibu tutafanya maamuzi.

TLS ni professional, governmental regulatory body. Mawakili wanahitaji a self-invented representative body.

Kwa sababu TLS ni wazi hakipo kuwalnda na kuwatetea mawakili.
 
Japo mimi sio muumini sana wa mapingamizi ya awali ya kisheria, ila kwa hapa naona hayo malalamiko yanatakiwa yaishe kwa mapingamizi tu (POs)..

Kuna PO kama 3 au 4 zilizonyooka hapo kuondoa hilo lalamiko.
 
IMG_7001.jpeg

IMG_6998.jpeg

IMG_6999.jpeg
 
Mdude na Lissu hawa jamaa ni hatari sana yaani wamejikataa ,hawaogopi chochote! Watu wa aina hii ndiyo wanaoleta mageuzi kwenye nchi ,ukiwa muoga muoga hauwezi kuwa mpambanaji.

Big Up Sumu Ya Nyigu.
Hivi yule Mdude we unamwonaje!?
Dish lilishayumba,tangu wamfunge kwa Ile kesi ya kubumba nati zote za woga zilisharegea
 
Naye avuliwe cheo Kwa kuruhusu mkataba mbovu wa DP World
Nasisitiza Tena naTena

Wakati tulipo fiwa na Raisi tulisikia fununu katiba ilitaka kupindishwa Makamu wake asishike Uraisi kama katiba inavyo elekeza

Tuliambiwa Mkuu wa JWTZ aliokoa jahazi

Nasasa katiba inavunjwa kumilikisha Mali bila kufuata katiba

Hivyo ni wakati wa Mkuu wa JWTZ Tena kuingilia jambo hili

Hivi hao wajanja wakifanikiwa kutupora sehemu ya Ardhi huyo Mkuu wa JWTZ atakuwa na mamlaka ya kulinda sehemu hiyo Tena

Jamàni tuwe siriasi na nchi yetu au kwavile tuliipata Kwa amani

Mnataka wajukuu wake kukomboa Kwa vitaaa!!
 
Mdude angekuwa kwenye profession yyte nae siku nyingi wangekuwa wamemuwajibisha
 
Mwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.

kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.

Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.

wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
WEll said!
 
Back
Top Bottom