Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawezi ni muoga na pia anajua uovu wa dola yetuPendekezo
Ushauri Mwanasheria mkuu wa serikali afanye debate na Dr Nshala pale chuo kikuu uso kwa uso kuhusu huu mkataba wa Tanzania na Dubai. Uzuri Dr Nshala hayuko kwenye siasa ni mzalendo na msomi mzuri wa kimataifa.