Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

Acha kutusi watu wewe, kumrelease mbowe haiwezi kuwa excuse ya kugawa rasilimali zetu na kumfumba kinywa chake asinene ipasavyo!
Rasilimali zetu na nani? na mimi au maana kama zetu basi na sisi wengine tunataka uwekezaji sasa mbona nyinyi mnataka kujimilikisha na haki zenu tu sisi tunaounga mkono sio haki yetu au? sababu hatukubaliani ndio maana kuna chaguzi na majority wanahaki ya kufanya maamuzi kwa bahati mbaya kwenu sisi ndio tuko madarakani jipangeni siku mkishinda{japo ndoto} mtafanya maamuzi kwa sasa hamna budi kuwa abiria...
 
Kama hakuna mkataba ulioandaliwa mpaka sasa na sie watanzania tunataka bandari ibinafsishwe nashauri JF members ambao Wana weledi wa Sheria na biashara waandae rasimu ya mkataba ili serikali na DPW wai-adopt. Hiyo itakuwa njia rahisi ya kuisaidia nchi yetu
 
Rasilimali zetu na nani? na mimi au maana kama zetu basi na sisi wengine tunataka uwekezaji sasa mbona nyinyi mnataka kujimilikisha na haki zenu tu sisi tunaounga mkono sio haki yetu au? sababu hatukubaliani ndio maana kuna chaguzi na majority wanahaki ya kufanya maamuzi kwa bahati mbaya kwenu sisi ndio tuko madarakani jipangeni siku mkishinda{japo ndoto} mtafanya maamuzi kwa sasa hamna budi kuwa abiria...
Kuna chaguzi zipi za kuchagua viongozi hapa Tanzania? Kwa taarifa yako, hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Walioelewa mtuambie mm sijaelewa lolote..Nilitegemea kama AG ungetambaa na ulalo wa Sheria ukichambua issues ambazo wananchi wana mashaka nazo mfano..Useme hii miaka sio milele wala sio mia ila iko hivi na vile..useme pia nchi itafaidika hivi na vile kuanzia mwaka huu mpaka huu...sasa ukianza kusema miradi inakwama kweli bandari ikiendeshwa na DP world ndio miradi haikwami??? miradi gani?? wewe toa majibu ya hoja za wananchi sio miradi imekwama...Nchi hii dah ni ya kuhurumia sana...
Tatizo ni mwandishi aliyemhoji
 
Kuna chaguzi zipi za kuchagua viongozi hapa Tanzania? Kwa taarifa yako, hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kama za USA tu na UK kwani hatujui kinachoendelea huko USA? mizengwe mpaka leo kwa Trump kutafutiwa kesi tu ili asigombee tena kwani ya huko UK hatujui? watu wanaingia madarakani kupitia ndani ya bunge tu hakuna uchaguzi mpaka waamue wenye chama kwa hiyo hakuna aliyekuwa perfect. Hapa kwetu kelele za humu mitandandaoni tu ila CCM ina mizizi kila corner ya nchi hii huo ndio ukweli.
 
Ina mizizi kwa chaguzi zile za kishenzi, ama hujui mizizi maana yake ni nini?
 
Kwahiyo uchaguzi wa haki ukishinda wewe au akishinda unayemtaka wewe au sijaelewa? kweli unaamini kabisa kuna chama TZ kinaweza kuitoa CCM, inawezekana CCM inashida kidogo shida hakuna mbadala TZ, hao Chadema hawana agenda wanarukia kila issue inayo trend wao wanarukia tu watu wameshawajuwa. Chadema au wapinzani ni wale walioko bench hawajapa fursa tu.
 
Nimecheka kwa nguvu eti cdm hawana ajenda wanarukia kila kitu. Inaonekana ww ni bendera fuata upepo, hivyo kila neno linalorudiwa huku mitandaoni, ndio akili yako inakoishia.

Tuje kwenye uhalisia, fungua katiba yetu inasema nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegemea, je kiutendaji tuko chini ya siasa ya ujamaa na kujitegemea? Hiyo ccm unayoamini ni bora na ina shida kidogo ndio inaendesha nchi hii toka uhuru! Na kwa kukusaidia tu, ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ukiitoa ccm kwenye mbeleko ya vyombo vya dola, ni bora hata TLP.
 
Well umeonesha your true colour, wewe ni mpinzani na unafanya kazi ya upinzani ni haki yako kwa hiyo hakuna hoja ya kujadili sababu wewe una side na mimi na side inatosha
 
Tazama upande chanya wa mkataba. Wanatoa mafunzo ya masuala ya bandari kwa wanafunzi wetu pale DMI pia wanakuja na mifumo ya kisasa ya upakuaji na upakiaji wa mizigo.

Hiyo ni IGA ni makubaliano ya jumla yaliyopita bungeni, huku kwenye mikataba ya kibiashara HGA wala haina nguvu yoyote kumbuka biashara hawatafanya bila ya kwanza kusajiliwa BRELA.
Hujajibu hoja, wewe ni mwanasheria? Kwa Nini tukalmbe Dubai iridhie panapokuwa na ongezeko la mwekezaji?
 
Well umeonesha your true colour, wewe ni mpinzani na unafanya kazi ya upinzani ni haki yako kwa hiyo hakuna hoja ya kujadili sababu wewe una side na mimi na side inatosha
Utatoa wapi hoja wakati ww ni bendera fuata upepo?
 
Ondoa ujinga wako huo mnalishwa matango pori huko na unakuja na vi IBARA huko mnadanganyana unadhani serikalini kuna wehu huko. weka hicho kifungu nikutafsirie na kwanini usiweke hizo signature walio sign huo mkataba mnaambiwa bado mkataba nyinyi mmesharuka tunauza, kiti kinachouzwa si kina bei wekeni tumeuza bei gani?
FAFANUA ukomo wa mkataba tukuelewe wewe usiyepotoshwa.
 
Utatoa wapi hoja wakati ww ni bendera fuata upepo?
Kama wewe tu hii ndio shida yenu wapinzani mnacholalamika kwa wengine ndio mnakifanya na hata ndani ya chama chenu nenda kajaribu kutaka kugombania nafasi ya juu ndio utajuwa true colour ya CDM, yalimkuta Zitto Kabwe
 
FAFANUA ukomo wa mkataba tukuelewe wewe usiyepotoshwa.
Sasa wewe kwako kitu kikubwa ni ukomo au madhumuni ya mkataba sijaelewe mnataka nini zaidi? ni ukomo au maslahi. Shida yenu mnaambiwa mara alfu TPA nd DP hawaja sign mikataba specific katika maeneo ule ulioenda bungeni ni makubaliano ya kushirikiana hata tushirikiane maisha what is issue? echeni kukariri maisha
 
Kwahiyo uchaguzi wa haki ukishinda wewe au akishinda unayemtaka wewe au sijaelewa? kweli unaamini kabisa kuna chama TZ kinaweza kuitoa CCM, inawezekana CCM inashida kidogo shida hakuna mbadala TZ, hao Chadema hawana agenda wanarukia kila issue inayo trend wao wanarukia tu watu wameshawajuwa. Chadema au wapinzani ni wale walioko bench hawajapa fursa tu.
CHAGUZI Tanzania hazitegemei sanduku la kura, zinategemea TISS na Polisi, zingetegemea sanduku la kura, CCM wangeshazikwa kitambo.
 
Sasa wewe kwako kitu kikubwa ni ukomo au madhumuni ya mkataba sijaelewe mnataka nini zaidi? ni ukomo au maslahi. Shida yenu mnaambiwa mara alfu TPA nd DP hawaja sign mikataba specific katika maeneo ule ulioenda bungeni ni makubaliano ya kushirikiana hata tushirikiane maisha what is issue? echeni kukariri maisha
Yapo mambo 10 yasitokubalika likiwemo ukomo wa mkataba, tunapopata mwekezaji mwingine maeneo mengine tukaombe Dubai, Bandari ni suala la Muungano, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo?
 
Nimecheka kwa nguvu eti cdm hawana ajenda wanarukia kila kitu. Inaonekana ww ni bendera fuata upepo, hivyo kila neno linalorudiwa huku mitandaoni, ndio akili yako inakoishia.

Tuje kwenye uhalisia, fungua katiba yetu inasema nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegemea, je kiutendaji tuko chini ya siasa ya ujamaa na kujitegemea? Hiyo ccm unayoamini ni bora na ina shida kidogo ndio inaendesha nchi hii toka uhuru! Na kwa kukusaidia tu, ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ukiitoa ccm kwenye mbeleko ya vyombo vya dola, ni bora hata TLP.
Kwa mjibu wa katiba ya 1977 maana ya Ujamaa na Kujitegemea haimanishi ujamaa wa Lenin au marxi bali unamaanisha
“Ujamaa” or “Ujamaa and Self Reliance” means the society’s life principles for building a Nation that observes democracy, self reliance, freedom, equality, fraternity and unity of the peoples of the United Republic;
 
Back
Top Bottom