Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

Hivi humu mnadhani mnaongea na vilaza kutaka kunitishia na Ikulu ya USA, kwanza kwa kauli kama hizo unachokataa wewe kuwa mtumwa wa waarabu ila unakuja na nyumba yako ya ibada ya USA ni chuki za kidini tu zimewatawala. nenda kote hakuna kama TZ period
Nasema hivi, kama ulikuwa unaongea kwa kejeli kutaka kuonyesha ikulu yetu ni sehemu ya maana sana basi sisi tunaiona ni takataka tu. Kuna ikulu zinaweza kukupa jeuri ya kuongea, sio huo ukhanithi.
 
Nasema hivi, kama ulikuwa unaongea kwa kejeli kutaka kuonyesha ikulu yetu ni sehemu ya maana sana basi sisi tunaiona ni takataka tu. Kuna ikulu zinaweza kukupa jeuri ya kuongea, sio huo ukhanithi.
peleka upumbavu wako huko kwa hao LGBQ jinga wewe... Ikulu ya maana.... pumbavu
 
Wewe kweli kichwani zimo? IBARA 8 ya mkataba inampa haki DPW haki ya kumiliki ardhi maeneo ya bandari iwapo Kuna wakazi waondolewe bila fidia, wewe yote kwako ni sawa? Tena hakuna ukomo wa muda, wewe kwako ni sawa tu?
1687941669976.png
 
You don't know that!

Hujui kama ana uwezo na weledi huo. Ujaji na u Attorney General huo kapewa tu.

Hakuna mtu Tanzania anateuliwa chochote kwa merit, kwamba labda aliji distinguish kwenye fani yake huko nyuma, ana sifika kwa maadili au kama alikuwa jahi basi kuna judgement zake zilikuwa zimeenda shule... Hakuna kitu kama hicho kwenye teuzi za TZ...

kwenye utumishi wa umma watu wote ni sawa na yeyote muda wowote anaweza kuteuliwa kuwa chochote!

Feleshi kuwa AG, Jaji, Jaji Kiongozi, kwa Tanzania that don't mean shit!

Ni kweli lazima awe mouthpiece wa Rais aliyempa ugali lakini inawezekana uwezo wake pia ni mdogo, period!
Sasa wewe mkuu unaongea kama nani na kwa niaba ya nani?
 
hana lolote

ndio wale wale hawezi kutofautiana na Bunge wala Serikali

binafsi naona kaja na mipasho tu kama mipasho iliyopita na hajatolea ufafanuzi wa jambo lolote
 
peleka upumbavu wako huko kwa hao LGBQ jinga wewe... Ikulu ya maana.... pumbavu
Ni ya maana kwako kwakuwa ww ni peasant. Hivyo unashoboka kwa kuona kama ni sehemu ya maana sana. Ngirijike ww.
 
Hivi humu mnadhani mnaongea na vilaza kutaka kunitishia na Ikulu ya USA, kwanza kwa kauli kama hizo unachokataa wewe kuwa mtumwa wa waarabu ila unakuja na nyumba yako ya ibada ya USA ni chuki za kidini tu zimewatawala. nenda kote hakuna kama TZ period
Nenda kokote hakuna kama tz? Huu ni ujinga ama?

Kila mtanzania ndoto yake ni kupata nafasi ya kuishi Western. Hata hao viongozi wako huoni kila Mara wanaenda huko kuomba omba misaada
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo.

Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa upotoshaji huo unaweza kuifanya Tanzania ionekane kama inabagua wawekezaji kutoka nchi fulani.

"Mtu anasema mkataba ni wa miaka 100 na hiyo ilikuja hata kabla Bunge halijaazimia. Wengine wanasema ni mkataba wa maisha. Unatafuta hicho kipengele cha maisha unapekua kifungu kimoja mpaka mwisho, hakuna," alisema Feleshi.

Ameonya pia kuwa lugha za kibaguzi zinazotolewa na baadhi ya watu dhidi ya wawekezaji kutoka nchi fulani zinaweza kuharibu sifa ya Tanzania kama taifa linaloongoza kuvutia watalii kwenye ukanda huu wa Afrika.

"Je sasa tunataka tujenge mazingira ya kuwatia hofu wawekezaji kwamba nchi yetu haitaki wawekezaji?" Alihoji Jaji Feleshi.

Aliongeza kuwa Tanzania imekuwa inajulikana kama nchi ambayo haifungamani na upande wowote miaka mingi na inayokaribisha wawekezaji kutoka sehemu zote duniani.

"Leo unapoanza kuona Waarabu ni kama shida, unachagua (wawekezaji watoke) wapi?" Aliongeza.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali pia amepangua upotoshaji kuwa bandari ya Dar es Salaam inauzwa kwa kusema kuwa hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kati ya Tanzania na Dubai (intergovernmental agreement au IGA) kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari.

"Tunaposema bandari imeuzwa, je ni kweli imeuzwa? Kile kiambatisho kimeeleza maeneo ya mahusiano kwa mujibu wa ile ibara ya 4 ni kwenye gati ngapi kati ya ngapi na hizo zinazobaki ni ngapi," alisisitiza.

Alifafanua kuwa Bunge limepitisha azimio la Ushirikiano kati ya Serikali ya Dubai na Tanzania kwenye eneo la bandari, lakini hakuna mkataba wowote ambao umesainiwa kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya DP World.

"Mpaka sasa TPA haijaingia makubaliano au mkataba wowote na DP World kwani muda wake haujafika," alisema.

Alikanusa upotoshaji unaonezwa na baadhi ya watu kuwa Tanzania au TPA haitaweza kujitoa katika makubaliano itakayoingia na DP World.

"Kama kuna kushindwana framework (msingi) umeshawekwa. Tangu mwanzo kwenye preamble (utangulizi wa makubaliano) imetajwa mikataba itakayokuja kuingiwa kama HGA (host government agreement) na project agreement (mtakaba wa uendeshaji wa magati ya bandari)," alisema.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameongeza kuwa katika mkataba ambao TPA itasaini na DP World, mwekezaji huyo atapewa masharti mahsusi na malengo ya utendaji na endapo mwekezaji ataonesha ufanisi, ataweza kuongezewa maeneo mengine kwa mujibu wa matakwa ya serikali.

Feleshi, ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DDP) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Credit: Jambo TV
 

Attachments

  • 699E8F7F-DC83-440D-A3EF-C5A63BC13C05.jpeg
    699E8F7F-DC83-440D-A3EF-C5A63BC13C05.jpeg
    58.4 KB · Views: 2
  • 63515E84-716F-4C2A-95D9-E4671D0D55B9.jpeg
    63515E84-716F-4C2A-95D9-E4671D0D55B9.jpeg
    62 KB · Views: 1
  • 884AF16D-6B39-486E-A7ED-C36FE1FB35BB.jpeg
    884AF16D-6B39-486E-A7ED-C36FE1FB35BB.jpeg
    55.5 KB · Views: 1
  • EF715A16-26CF-4972-8586-A46C854459A5.jpeg
    EF715A16-26CF-4972-8586-A46C854459A5.jpeg
    71.8 KB · Views: 2
Wewe nawe ondoa kauli za kipumbavu, mkataba utawekwa sign, uchaguzi wa serikali za mitaa CCM, uchaguzi ujao CCM, nadhani mmesahau JPM alichowafanyia piga chini mpaka mwenyekiti wenu ohhh sijui tuandamane hakutoka hata mmoja barabarani. Mama Samia kaja kamuonea huruma kamtoa sasa pembe zinakuwa dawa ipo karibu tu.
Acha kutusi watu wewe, kumrelease mbowe haiwezi kuwa excuse ya kugawa rasilimali zetu na kumfumba kinywa chake asinene ipasavyo!
 
Nenda kokote hakuna kama tz? Huu ni ujinga ama?

Kila mtanzania ndoto yake ni kupata nafasi ya kuishi Western. Hata hao viongozi wako huoni kila Mara wanaenda huko kuomba omba misaada
Wewe bwana unafurahisha eti kila mtu dream kuishi western unadhani watu humu mbumbu hatujui maisha ya huko, wala sina haja ya kuandika nimekuwa wapi na najuwa maisha ya huko maana sio muhimu lakini nakwambia Tz ni nchi moja nzuri sana fanya kazi tafuta maisha utaishi kama mfalme wala usipate hasira bahati mbaya huko western ni wale kwa bahati mbaya wamekosa fursa wanaenda kupiga kazi kuja kujiweka vizuri hapa na hilo wala sio kosa ila naongea kwa kujiamini kabisa Tanzania ni nchi nzuri sana tena sana hakuna stress...love Tanzania
 
Back
Top Bottom