Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

Wacha uongo mbona walitoa tamko tangu juzi tenalimo humu JF.
Nimeona taarifa ya habari ITV wanapigiwa simu zinaita hawapokei.... hilo tamko linasemaje na liko wapi
 
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
 
Endlea kuota Moto

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wenyewe rafiki zetu wazungu huu utoto wa serekali ya awamu hii wanaujua, so spana pale pale. Ni wenye mtindio tu (retards) ndiyo wanaweza kuzugwa na huu utoto!

Piga spana baba Tundu Lissu, pigaaa hadi bombardier zikose spea dadeki!
 
Duh inashangaza kweli kweli hivi mambo ya ndani ya chadema yanamhusu nini huyu
 
Hao Kama hawajaomba msamaha ,ni kuwatumia, hakuna pepesa macho,tz ina katiba ,na vyama vina katiba zake,Kama mbwai mbwai,chadema sio chama pekee viko vingi waende huko kwenye vyama vingine,na ingikua moja Kati ya hao ninae mke ,taraka kabla ya mahamuzi ya chama angikuta kwenye msg ya sim yake kabla hajafika mlangoni nyumbani,
 
Yani CHADEMA nilikuwa nakiamini na kukipigania,but sasa ni chama cha hovyo kabisa.Nitakaa tu bila ufuasi wowote ule
 
kesi zote zinazomhusu Mdee kufutiliwa mbali
 

Nipende hilo gazeti la Uhuru mtambo wa propaganda za kikomunisti!? Siku hizi ukiachia mitandao ya kijamii, media kama redio, tv nk sizifuatilii kabisa maana zimekuwa za kumuabudu jiwe.
 
Asitutishie huyo jamaa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli chama mboga mboga wana huruma. Kama aliyo nayo mbwa mwitu kwa mwana kondoo!
Yaani unahitaji kujitoa akili kweli kutetea upuuzi kama huo. Na hili hawa jamaa wa mboga mboga wanaliweza kweli. Yaani ni kama mtu mzima na 'akili zako' uchojoe na kuanza kuoga mchana kweupe sokoni!
 
Mwanasheria Mkuu AG huyu huyu alitetea Wakurugenzi wa Halmashauri na miji ambao ni makada wa CCM kusimamia Uchaguzi wa Oktoba 28, 2020 tukaona jinsi walivyofanya uchafuzi.

Video ya Kumbukumbu za mwanasheria kuburutwa kupinga haki za vyama ktk kushiriki uchaguzi wa haki na huru:
Sasa Mwanasheria Mkuu AG huyu huyu anatetea mfumo wa serikali ulioamua suala hili la viti maalum kinyume na sheria za uchaguzi za Tume ya Uchaguzi ya Taifa na kanuni bila kusahau taratibu zinavyotaka vyama kufanya ktk teuzi za viti maalum vya wabunge!
 
Yaani unahitaji kujitoa akili kweli kutetea upuuzi kama huo. Na hili hawa jamaa wa mboga mboga wanaliweza kweli. Yaani ni kama mtu mzima na 'akili zako' uchojoe na kuanza kuoga mchana kweupe sokoni!

Nakubaliana na wewe mkuu na hasa hili hapa: NAWATAFUNA labda kama ni mental case!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…