Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Nimeona taarifa ya habari ITV wanapigiwa simu zinaita hawapokei.... hilo tamko linasemaje na liko wapiWacha uongo mbona walitoa tamko tangu juzi tenalimo humu JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona taarifa ya habari ITV wanapigiwa simu zinaita hawapokei.... hilo tamko linasemaje na liko wapiWacha uongo mbona walitoa tamko tangu juzi tenalimo humu JF.
Nakuelewa.... sijawahi kumkubali yule mwenyekiti, yeye anawaza kutengeneza pesa tu.Namuona Lisu na Mnyika kwa mbali wakiachana na siasa
Halima Mdee na mkewe Esther Bulaya ni mashujaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wabunge wanachapa kazi. Kongole halima mdee
View attachment 1635465
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Gazeti La Uhuru limetengenezwa maalumu kwa ajili ya kufungia vitumbua na maandazi nyakati za asubuhi.Hivi kuna mtu anayejitambua anasoma huo uchafu uitwao gazeti la Uhuru?
Endlea kuota MotoMwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa Chadema Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumuuwa Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye uenyekiti wa chama.
Baada ya sauti hizo kuvuja mara moja chama kilitangaza kikao cha dharura cha kamati kuu kuwahoji ili waweze kuchukuliwa hatua kali sana ikiwa pamoja na kufukuzwa Chadema.
Matokeo yake baada ya kikao cha kamati kuu hao wabunge wauaji walisamehewa na kutakiwa kuomba radhi tu!
Kama hali ni hiyo, wabunge wa viti maalum Chadema si wauaji na wala hawajatishia kumuuwa mtu yoyote ila wanajaribu tu kutumia haki yao ya kikatiba iweje wafukuzwe Chadema?
Kweli kuwa mwanamke Chadema ni dhambi kubwa kuliko wapanga mauaji waliosamehewa??
Tusubiri na kuona kesho kikao cha kamati kuu chadema kitaamua nini ,bila shaka Mbowe is going to be tested again na maamuzi tofauti na kufukuza yatamwimalisha ,na maamuzi ya kufukuza hao wanawake itakuwa ni kiss of death kwa Mbowe na Chadema kwa ujumla.
Uzuri wenyewe rafiki zetu wazungu huu utoto wa serekali ya awamu hii wanaujua, so spana pale pale. Ni wenye mtindio tu (retards) ndiyo wanaweza kuzugwa na huu utoto!Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Duh inashangaza kweli kweli hivi mambo ya ndani ya chadema yanamhusu nini huyuAnayebidi aongelee hili suala kwa sasa ilibidi awe NEC lakini nao simu hawapokei wakipgiwa. Wanaona aibu hata kutoa matamko. Sasa huyu mwanasheria mkuu huo mchakato wa ndani ya CHADEMA alikuwepo mpaka apingane na Katibu wa chama!
Kweli Tanzania ina ajabu sana.
Kesho ndio kesho ngoja tuone 😂😂😂
Nalog off
Kawaulize wanasheria aliowafundishwa chuo kikuu akiwemo Tundu Lissu.Hivi huyu ni Prof. Kweli?
Hao Kama hawajaomba msamaha ,ni kuwatumia, hakuna pepesa macho,tz ina katiba ,na vyama vina katiba zake,Kama mbwai mbwai,chadema sio chama pekee viko vingi waende huko kwenye vyama vingine,na ingikua moja Kati ya hao ninae mke ,taraka kabla ya mahamuzi ya chama angikuta kwenye msg ya sim yake kabla hajafika mlangoni nyumbani,Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
kesi zote zinazomhusu Mdee kufutiliwa mbaliMwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Jaji na waziri Mkuu wetu Mstaafu Mzee Joseph S. Warioba na wazi wakati anafungua baraza la Habari Tanzania alisisitiza watanzania tuanze kufuatilia taarifa za vyombo vya habari vya hapa nyumbani. Ingawa alisisitiza waandishi nao waongoze juhudi. Tuvipende vya kwetu nchi yetu istawi.
Asitutishie huyo jamaaMwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
HUO SIYO UCHAFU BALI UPUMBAVU WAKO WA KUBAGUA VYOMBO VYA HABARI NDIYO UNAKUSUMBUA
ARI
Yaani unahitaji kujitoa akili kweli kutetea upuuzi kama huo. Na hili hawa jamaa wa mboga mboga wanaliweza kweli. Yaani ni kama mtu mzima na 'akili zako' uchojoe na kuanza kuoga mchana kweupe sokoni!Kwa kweli chama mboga mboga wana huruma. Kama aliyo nayo mbwa mwitu kwa mwana kondoo!
Yaani unahitaji kujitoa akili kweli kutetea upuuzi kama huo. Na hili hawa jamaa wa mboga mboga wanaliweza kweli. Yaani ni kama mtu mzima na 'akili zako' uchojoe na kuanza kuoga mchana kweupe sokoni!