Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Endelea kuumia moyoni mkuu Kalamu, hakuna wa kukusaidia.Hivi huyu mungu ambaye mnamwabudu na kumtajataja sana wakati mnafanya mambo ya kishetani kwa waTanzania, huyo ni mungu wa namna gani huyo?
Kuna mungu maalum wa mizoga aina yenu?
Huyo sukuma gang, anaumia sana anapomuona Samia anajiandaa kumalizia miaka yake mitano iliyobakia.Tena ni heri ya Musiba,huyu mbiombio kajificha uvunguni kusikojulikana. Atakaa huko hadi lini? Ajikumbushe akina Kambona walijicha Uingereza kwa miaka mingapi.
Niko Kolandoto nisiijue Mwadui?Hivi wewe emeshafika mwadaui?
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Akili huna. Mungu wa simba na fisi ndiye huyohuyo Mungu wa swala, nyumbu na ngiri. Survival for the fittest. Narudia tena, Samia is the fittest player kwenye hili. Mtabwekambweka tu kama mbwakoko lakini Katiba inambeba Samia na watu wanaridhika nae so far. Nakukumbusha kwa mara nyingine, soma Katiba tena na tena, heshimu katiba kwa kutii mamlaka iliyotokana na Katiba ili siku zako ziiwe nyingi, maana walioapa kuilinda Katiba ni wengi sana aloo. Hata vitabu vya Mungu vinaagiza watu wote kutii mamlaka unconditionally.Hivi huyu mungu ambaye mnamwabudu na kumtajataja sana wakati mnafanya mambo ya kishetani kwa waTanzania, huyo ni mungu wa namna gani huyo?
Kuna mungu maalum wa mizoga aina yenu?
Wanalifahau hilo lakini ni ile tu basi. matusi ndio dalili ya kwanza ya mtu aliyeshindwa. Watu wenye nguvu hawana kelele nyingi wala matusi; wao ni vitendo tu. Kujamba kwingi sio dalili ya mavi mengi. Wanajamba sana ili angalau tuambulie kaharufu ka ushuzi wao huku wakiendelea kuenjoy amani na utulivu, uhuru wa kusema, ememe kila kona, maji kila kona, SGR, mashule kwa watoto wao, barabara na madaraja bwelele na hospitali za kupasua mabusha yao kila vilaya na kila kata.Endelea kuota ndoto. Samia anaingia ikulu October 2025 kumalizia ngwe ya pili.
Wewe ni Mzoga wa Kiarabu; maana kila mahali maandishi yako ni ya dharau kwa watu weusi.Akili huna. Mungu wa simba na fisi ndiye huyohuyo Mungu wa swala, nyumbu na ngiri. Survival for the fittest. Narudia tena, Samia is the fittest player kwenye hili. Mtabwekambweka tu kama mbwakoko lakini Katiba inambeba Samia na watu wanaridhika nae so far. Nakukumbusha kwa mara nyingine, soma Katiba tena na tena, heshimu katiba kwa kutii mamlaka iliyotokana na Katiba ili siku zako ziiwe nyingi, maana walioapa kuilinda Katiba ni wengi sana aloo. Hata vitabu vya Mungu vinaagiza watu wote kutii mamlaka unconditionally.
Hakuna demokrasia kwa watu wajinga na maskini. Na demokrasia pana lazima ianzie kwanza nyumbani kwako, mashuleni na vyuoni. Kama huko hakuna demokrasia usitarajie Ikulu ndiyo ikupe demokrasia ambayo hujaizoea huko kwenye familia, shuleni, vyuoni na mitaani mnakoishi. Tunahitaji kiasi fulani cha demokrasia lakini sio ile inayoweza kuwaruhusu majinga, wapumbavu, walanguzi na vibaraka kwenda Ikulu. Kule Kenya, Malawi, na Zambia walijaribu kudai demokrasia pana inayoweza kuruhusu hata wahuni kwenda Ikulu lakini hakuna cha maana walichokipata. Mauaji ya shakahola na umaskini na migomo ndiyo kwanza imezidi. CCM iendelee kutuandaa kuelekea kwenye demokrasia pana za Magharibi lakini polepole kwa kujenga shule nyingi na kutoa elimu bora na kupunguza umaskini kwa watu kupenda kufanyakazi.
Huyu kalamu na wajinga wenzake wanadhani Afrika yote ni maskini kwasababu viongozi woooote wa Afrika ni wapumbavu, wezi, wajinga na wasiojua kuongoza. Mtu anaeamini hivyo ni mpumbavu asie na insight. Mtu anaewaza hivyo kama ukimpa nchi ndio ataharibu kabisa na kuiuza nchi. George Weah alikuwa na mawazo hayohayo alipokuwa anagombea urais kule Liberia; lakini aliishia kuwa Rais wa hovyo kuliko mwanamama Sarif
Mzoga kama wewe unao msaada gani kwa mtu yeyote mwenye uhai?Endelea kuumia moyoni mkuu Kalamu, hakuna wa kukusaidia.
Mnapo jisahau na kudhani kuwa nyinyi siyo binaadam kwa kutegemea kuwa mitutu ya bunduki itawalinda kwa kuitumia kumwaga damu za binaadam wengine; mnajidanganya. Mitutu hiyo hiyo inaweza kuwageukia wakati wowote.Endelea kuota ndoto. Samia anaingia ikulu October 2025 kumalizia ngwe ya pili.
Hakuna anayetumia mitutu ya bunduki. Uwezo wa kutumia vizuri wasomi katika kutimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi anao Samia.Mnapo jisahau na kudhani kuwa nyinyi siyo binaadam kwa kutegemea kuwa mitutu ya bunduki itawalinda kwa kuitumia kumwaga damu za binaadam wengine; mnajidanganya. Mitutu hiyo hiyo inaweza kuwageukia wakati wowote.
Kwa hiyo hii dharau mnayo waonyesha waTanzania kwa kudhani nyinyi mpo salama sana isiwapumbaze akili.
Pole sana mkuu Kalamu.Mzoga kama wewe unao msaada gani kwa mtu yeyote mwenye uhai?
Kitu pekee kinacho umiza ni uvundo wa hii mizoga yenu; lakini muda si mrefu tutaichoma moto na mingine tutafukia ili tuondokane na adha hiyo..
Ukweli huo ndio unao waumiza sana nyinyi mnaotegemea makombo ya hao wanaowaleta humu JF kueneza uvundo kila mahali.
Hizo pole mara ngapi?Pole sana mkuu Kalamu.
Hao unao sema wasomi mnao wanunua ndio watakao wakabidhi mizoga nyinyi kwa waTanzania tuwamalize kimoja..Hakuna anayetumia mitutu ya bunduki. Uwezo wa kutumia vizuri wasomi katika kutimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi anao Samia.
Kwa aina ya roho mbaya na wivu unaokusumbua, utakuwa umeumia sana ikifika 2030 wakati Samia anajiandaa kuachia madaraka.
Pale packers zinamwagwa sera na Samia muda huu, mtapotezwa na chuki pamoja na roho mbaya zenu.Hizo pole mara ngapi?
Mizoga itapata wapi uwezo wa kutoa pole kwa watu hai wenye matumaini makubwa na ukombozi wa nchi yao?
Unazeeka na hizi ndoto za kichawi, unastahili kupewa pole.Hao unao sema wasomi mnao wanunua ndio watakao wakabidhi mizoga nyinyi kwa waTanzania tuwamalize kimoja..
Samia hana kitu. Sasa inajulikana wazi anatumiwa tu; na atajutia sana.
Hakuna serikali duniani inapenda kuua walipakodi wake. Italizimika tu kuua mpigakura wake kama mlipakodi huyo yuko tayari kuhatarisha uhai wa wengine na dola.Mnapo jisahau na kudhani kuwa nyinyi siyo binaadam kwa kutegemea kuwa mitutu ya bunduki itawalinda kwa kuitumia kumwaga damu za binaadam wengine; mnajidanganya. Mitutu hiyo hiyo inaweza kuwageukia wakati wowote.
Kwa hiyo hii dharau mnayo waonyesha waTanzania kwa kudhani nyinyi mpo salama sana isiwapumbaze akili.