Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Sasa kwa Uzi huu hautakuwa na mwanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaweza kukataa mtu mwenya hei na wewe na ukampenda mtu mwenye shari na wewe.

Hili hutokea sana. Mtazamo waki una dosari lukuki.
 
Hiyo namba 5 ni cha mtoto...ongeza namba 6..wasaka pesa kama mimi...narudi home baada ya mwezi mmoja au miwili....nyambafu.
 
Mwanaume kama kimeo ni kimeo tu kazi haifanyi mtu kuwa na michepuko wangapi hawakazi hizo ila wana masuria mia kidogo

Unachosema uko sahihi ila lazima ujue kuna mazingira hatarishi watu wanaishi ambayo humshawishi mtu kufanya mabaya.

Umakini wa kuchagua mwenza ni jambo la kidharura na ni makosa kulipuuza.

Swali la msingi vigezo gani unatumia kumpata mwenza. Hapa ndipo wengi hukosea.

Ila kila kitu kipo wazi.
 
Mimi Ni Dereva wa Tipa la mchanga ila ninakipaji cha Kuyajua/Kuendesha Aina Nyingi za Magari Nimeitwa na Mabos kibao niende nikachukue Magari ya nje ya Nchi nikagoma Coz Wife Anapenda Sana Dudu! Haipiti Siku 2 Mbili hajaomba dudu sasa huwa nawaza nikisafiri miezi 3 si Itakuwa balaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa herufi kubwa kaisahau. Itakuwa hajawahi penda maana sio bure aisee.


Kupenda kupita kiasi ni ugonjwa na kujiendekeza.

Ukiona umempenda mtu kupita kiasi mpaka ukionacho machoni mwako na kinachokujia akilini mwako ni mapenzi ujue una kasoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…