Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi ni mwalimu wa waningo secondary school...Wewe jamaa ni lecturer bila shaka.
Sijabahatika kufika huko na ningefika huko ningesomea Couse ya Engineering doctor [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kesho itakuja thread hapa 'mwanaume asie na hela wa nini' wale wale utawakuta wanaunga mkono. Hamna mtu anaependa shida.😳😳😳 Kweli mkuu?
Rrondo kweli nakwambia achana na maneno ya nyuma ya keyboard huo ndio ukweli achana na kumpenda mtu bwana
Hahahahaaa sawa mkuuKesho itakuja thread hapa 'mwanaume asie na hela wa nini' wale wale utawakuta wanaunga mkono. Hamna mtu anaependa shida.
Sasa kwa Uzi huu hautakuwa na mwanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kama kimeo ni kimeo tu kazi haifanyi mtu kuwa na michepuko wangapi hawakazi hizo ila wana masuria mia kidogo
Kabisa herufi kubwa kaisahau. Itakuwa hajawahi penda maana sio bure aisee.
Mmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".
Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea.
Vinakuwaga havina afya kwanza, vidogooo hata havivutii.