Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Sure, bwashee wewe kuna kitu umekipata hapa
Ninaona vijana wenzangu wanavyokwea midege😃

Ausbildung za Germany, UK health and care worker visa, Canada wana express entry juzi tar. 4 kuna washkaji walichaguliwa. DV ya US mwaka huu TZ itaruhusiwa na wengi wataomba.

Sisi tuliojikuta watabe kusomea engineering sciences tunakaanga chipsi.
 
Dogo siku ukikubali kutoka hapo kwa shemeji ako njia zako za mafanikio zitafunguka😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…