Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Hamna yaan ndo kwanza hisia zinakata mtu kwa week naona **** zaidi ya 100
May be! maana ukizoea kitu sana, unaona cha kawaida tu!!!

sasa kwenye sex nyege zitapandaje akiwa na mke wake!
 

Secretarial kwa wanaume?? Labda huko nje ila Bongo mbona utaambiwa ni PAPAI.
 
Sindano tulipendelea kuchomwa na nesi wa kike, unesi tuliona ni wa wanawake tu, madokta ndio wanaume, ila siku hizi kuna madokta wa kike na manesi wa kiume!

Kwanini lakiniii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…