MWANAUME ANAPOOA NI LAZIMA KUZINGATIA UWEZO WA KIUCHUMI,,KIELIMU NA KIDINI KWA FAMILIA YA MWANAMKE ANAYEMUOA???

MWANAUME ANAPOOA NI LAZIMA KUZINGATIA UWEZO WA KIUCHUMI,,KIELIMU NA KIDINI KWA FAMILIA YA MWANAMKE ANAYEMUOA???

Zongh

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
463
Reaction score
492
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.

Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.

Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa Karne hii haswa kwa vijana wa kiume.naomba nipate mawazo ya wakubwa ambao kidogo mmeshavuka hatua hii na wenye uelewa pia.

Kwenye swala la kupata mwenza wa maisha kwa mwanaume anayetafuta mwanamke wa kuoa,,swala la uwezo wa kiuchumi,,kielimu na kidini kwa ujumla ni Mambo ambayo mwanaume anapaswa kuzingatia ili kuondoa utegemezi mkubwa kutoka familia ya mwanamke au sio swala la muhimu?? ,maana siku hizi Binti akiolewa ni sawasawa na familia yao yote imeolewa na kumtegemea mwanaume husika.
:kwa mfano,kijana ambaye kwao wako vizuri kuanzia kielimu,, kiuchumi,,.anaweza kuoa mwanamke ambaye kwao hawako vizuri kiuchumi na kielemu ukizingatia ni dini tofauti pia.???
 
Unaishi wapi mtumish?

Ndoa ya Binti wa husen mwinyi na chalii wa chuga vp yule msukuma na Debora wake juzi uliziona hizo ndoa?
 
Unaishi wapi mtumish?

Ndoa ya Binti wa husen mwinyi na chalii wa chuga vp yule msukuma na Debora wake juzi uliziona hizo ndoa?
Nipe mfano wa ambayo mwanaume wako vizuri sana,,na kwa Binti wako vibaya mkuu
 
Back
Top Bottom