Mwanaume anapooa ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielimu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa?

Mwanaume anapooa ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielimu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa?

Zongh

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
463
Reaction score
492
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.

Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.

Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa Karne hii haswa kwa vijana wa kiume.naomba nipate mawazo ya wakubwa ambao kidogo mmeshavuka hatua hii na wenye uelewa pia.

Kwenye swala la kupata mwenza wa maisha kwa mwanaume anayetafuta mwanamke wa kuoa,,swala la uwezo wa kiuchumi,,kielimu na kidini kwa ujumla ni Mambo ambayo mwanaume anapaswa kuzingatia ili kuondoa utegemezi mkubwa kutoka familia ya mwanamke au sio swala la muhimu?? ,

Maana siku hizi Binti akiolewa ni sawasawa na familia yao yote imeolewa na kumtegemea mwanaume husika.
Kwa mfano,kijana ambaye kwao wako vizuri kuanzia kielimu,, kiuchumi,,.anaweza kuoa mwanamke ambaye kwao hawako vizuri kiuchumi na kielemu ukizingatia ni dini tofauti pia.???

NB:ukizingatia kwamba mwanaume ndio kwao Kuna uwezo na kwa mwanamke ni dunia sana
 
Kwenye Elimu wanawake wote wanafana,aliyesoma anafanaba na ambaye hajasoma-usije ukajidanganya kwamba MWANAMKE mwenye elimu ana utofauti na asiye na elimu utachekesha kijiwe.
Hivyo kwa maana yako ELIMU sio ya msingi au sio kigezo Cha kuzingatia kwenye kutafuta mwanamke wa kuoa?
 
Kwa waislam iko wazi dini ilishasema sifa za kuoa kwa mwanaume ni hizo👇

1.Mali yake(kipato chake)
2.Uzuri wake (umbo,shepu na Tabia)
3.Ubini wake(familia na Ukoo wake)
4.Dini yake (iwe islamia)
 
Hapo kwenye dini muwe dini moja iepushe shida badae.ila swala la kiuchumi nalo zingatia utalemewa.
 
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.

Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.

Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa Karne hii haswa kwa vijana wa kiume.naomba nipate mawazo ya wakubwa ambao kidogo mmeshavuka hatua hii na wenye uelewa pia.

Kwenye swala la kupata mwenza wa maisha kwa mwanaume anayetafuta mwanamke wa kuoa,,swala la uwezo wa kiuchumi,,kielimu na kidini kwa ujumla ni Mambo ambayo mwanaume anapaswa kuzingatia ili kuondoa utegemezi mkubwa kutoka familia ya mwanamke au sio swala la muhimu?? ,maana siku hizi Binti akiolewa ni sawasawa na familia yao yote imeolewa na kumtegemea mwanaume husika.
:kwa mfano,kijana ambaye kwao wako vizuri kuanzia kielimu,, kiuchumi,,.anaweza kuoa mwanamke ambaye kwao hawako vizuri kiuchumi na kielemu ukizingatia ni dini tofauti pia.???

NB:ukizingatia kwamba mwanaume ndio kwao Kuna uwezo na kwa mwanamke ni dunia sana
Mkuu muhimu mpendane tu kwa dhati, mengine ni madogo sana na kuna njia nyingi za kuyamaliza
 
Back
Top Bottom