ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mkongwe nakupa mbinu muhimu unaleta ubishi, endelea sasaAcha uongo bro.... kuna muda upendo pekee hautoshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkongwe nakupa mbinu muhimu unaleta ubishi, endelea sasaAcha uongo bro.... kuna muda upendo pekee hautoshi
Una uhakika mimi sio mkongwe????Mkongwe nakupa mbinu muhimu unaleta ubishi, endelea sasa
Mapenzi yana nguvu kuliko hizi blah blah zote, ndio maana nakwambia muhimu mpendane kwa dhati , mengine yanamalizwa tu kawaidaUna uhakika mimi sio mkongwe????
If you want peace oa with in your tax bracket
Oa elimu inayotosha kumanage watoto na familia maana mama ndo mlezi key wa watoto
Oa wa imani yako au imani zinazoendana,
mkipishana imani mmoja awe tayari kucompromise
Sasa jichanganye kama hujakimbia familia kwa majuto makubwa
Basi sawaMapenzi yana nguvu kuliko hizi blah blah zote, ndio maana nakwambia muhimu mpendane kwa dhati , mengine yanamalizwa tu kawaida
DuhhhMkuu muhimu mpendane tu kwa dhati, mengine ni madogo sana na kuna njia nyingi za kuyamaliza
SawaUna uhakika mimi sio mkongwe????
If you want peace oa with in your tax bracket
Oa elimu inayotosha kumanage watoto na familia maana mama ndo mlezi key wa watoto
Oa wa imani yako au imani zinazoendana,
mkipishana imani mmoja awe tayari kucompromise
Sasa jichanganye kama hujakimbia familia kwa majuto makubwa
Suala la uchumi ni muhimu kuzingatia. Ukioa kwenye familia masikini mzigo utakua mkubwa kwako.Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.
Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.
Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa Karne hii haswa kwa vijana wa kiume.naomba nipate mawazo ya wakubwa ambao kidogo mmeshavuka hatua hii na wenye uelewa pia.
Kwenye swala la kupata mwenza wa maisha kwa mwanaume anayetafuta mwanamke wa kuoa,,swala la uwezo wa kiuchumi,,kielimu na kidini kwa ujumla ni Mambo ambayo mwanaume anapaswa kuzingatia ili kuondoa utegemezi mkubwa kutoka familia ya mwanamke au sio swala la muhimu?? ,
Maana siku hizi Binti akiolewa ni sawasawa na familia yao yote imeolewa na kumtegemea mwanaume husika.
Kwa mfano,kijana ambaye kwao wako vizuri kuanzia kielimu,, kiuchumi,,.anaweza kuoa mwanamke ambaye kwao hawako vizuri kiuchumi na kielemu ukizingatia ni dini tofauti pia.???
NB:ukizingatia kwamba mwanaume ndio kwao Kuna uwezo na kwa mwanamke ni dunia sana
Dunia ya sasa kutanguliza mapenzi bila kutumia logic ni kujiandalia matesoMapenzi yana nguvu kuliko hizi blah blah zote, ndio maana nakwambia muhimu mpendane kwa dhati , mengine yanamalizwa tu kawaida
Mapenzi hayana maneno mengiDunia ya sasa kutanguliza mapenzi bila kutumia logic ni kujiandalia mateso
Ahaa sawa nimekuelewaSuala la uchumi ni muhimu kuzingatia. Ukioa kwenye familia masikini mzigo utakua mkubwa kwako.
Yah Elimu siyo kigezo cha msingi kwenye kutafuta Mke, Muhimu Manaume ajue umuhimu wa Elimu hata kama Mwanaume haja soma, na Mwanaume hata kama hana Elimu lazima atajua umuhimu wa Elimu kwa kizazi chake hii atajua kutokana na Mazingira ya kazi zake za kila siku kwahiyo ni vigumu kuzembea Elimu za watoto wake.Hivyo kwa maana yako ELIMU sio ya msingi au sio kigezo Cha kuzingatia kwenye kutafuta mwanamke wa kuoa?
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.
Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.
Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa Karne hii haswa kwa vijana wa kiume.naomba nipate mawazo ya wakubwa ambao kidogo mmeshavuka hatua hii na wenye uelewa pia.
Kwenye swala la kupata mwenza wa maisha kwa mwanaume anayetafuta mwanamke wa kuoa,,swala la uwezo wa kiuchumi,,kielimu na kidini kwa ujumla ni Mambo ambayo mwanaume anapaswa kuzingatia ili kuondoa utegemezi mkubwa kutoka familia ya mwanamke au sio swala la muhimu?? ,
Maana siku hizi Binti akiolewa ni sawasawa na familia yao yote imeolewa na kumtegemea mwanaume husika.
Kwa mfano,kijana ambaye kwao wako vizuri kuanzia kielimu,, kiuchumi,,.anaweza kuoa mwanamke ambaye kwao hawako vizuri kiuchumi na kielemu ukizingatia ni dini tofauti pia.???
NB:ukizingatia kwamba mwanaume ndio kwao Kuna uwezo na kwa mwanamke ni dunia sana
Hayo ni maneno tu, wapo waaribifu kibao na wanaoa wake wema. Infact badboys ndio wanakua na uwezekano mkubwa wa kupata mke mwema kwa sababu wana uzoefu na tricks, cheating codes na character za wanawake wa kila aina.Unapotafuta mke, hakikisha ya kuwa na wewe una sifa zinazo endana na huyo unaye muhimu taji.
Yaani, unapotaka mke mzuri wa tabia, dini hakikisha na wewe unazo sifa hizo, kinyume chake ukubali au usikubali utapata wa kufanana na wewe.
Hayo ni maneno tu, wapo waaribifu kibao na wanaoa wake wema. Infact badboys ndio wanakua na uwezekano mkubwa wa kupata mke mwema kwa sababu wana uzoefu na tricks, cheating codes na character za wanawake wa kila aina.
In our modern days, dating is a jungle. Mapenzi yameingiliwa na mdudu ni mwendo wa ubinafsi na kuviziana tu.
Mwanaume ana vigezo vinavyombana kikubwa zaidi ni kigezo cha pesa, na mwanamke ana vigezo vinambana kikubwa zaidi ni past yake na flactuation ya mwili wake. Hapo sasa ndipo kila mtu acheze karata zake kwa umakini. Ukitumia peak yako vibaya ni uzembe wako na consequencies zake utazibeba peke ako.